TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

Mkuu hili linanishangaza sana hivi majuzi moja ya kata moja huku kwenye kata yangu kulikuwa na uchaguzi wa marudio

Baada ya mwenyekiti wa ccm kata aliyekuwepo kupumzika kwa sababu ya changomoto za afya (nae ni mzee) waliitisha uchaguzi.

Waliochukuwa fomu most walikuwa wazee mmoja ana umri wa 90yrs nilipigwa butwaa.

aliyeahinda nafasi hiyo nae ni mzee ambaye ameshashika nyadhifa nyingi ndani ya chama na serikali.

Umri wake ni 67+ picha ziliwekwa mtandaoni baada ya mshindi kupatkana vijana walibweka sana kuwa hawa wazee ccm wanawaletea akina nani?

Honestly,
Vijana wakijiunga na ccm ni kwa ajili ya fursa basi...ni ngumu kumkuta kijana wa 35age ni mwenyekiti wa ccm kata, wilaya au mkoa
Vijana ndio tunapaswa kujitokeza kuchukua fomu na kugombea pale inapotokea nafasi au uchaguzi.ikumbukwe ya kuwa kinachoangaliwa ni uwezo wa mtu kuongoza na kumudu majukumu yake.lakini kama hatutajitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.basi tukae kimya na asiwepo wa kulalamika.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.

Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.

CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya

RIP Mmaaa. Watu wema nao wanakufa
 
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA SHUJAA HUYU

Mwendo ameumaliza kwa ushindi

Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea.

Ameen
 
Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.

Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.

CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya
Kabla ya maziko muwahisheni Gwajima akafanye ufufuo.
 
Back
Top Bottom