comred
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 1,867
- 1,604
upumbavu mwingine huu
like.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upumbavu mwingine huu
Hujui kuwa lwakatare yupo nje kwa dhamana.
kwahiyo Chadema mmejihalalishia staili ya tindikali kwa kwenda mbele
huyu nae watazunguka nae jukwaani kuhadaa wananchi kuwa ni CHADEMA wanahusika?
CCM mtamalizana wenyewe hiini hatari sana
Yuko wapi Nape? 'huyo mkuu amejimwagia tindikali mwenyewe'
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
Mkuu si unajua chama chenyewe kina wapumbavu na madhaifu wana weza zunguka nae hawana mshipa wa aibu wale!
Yuko wapi Nape? 'huyo mkuu amejimwagia tindikali mwenyewe'
Kamanda CDM haisiki hapo nadhan bila shaka watakuwa ni green guards wenu walikuwa wanafanya majaribio ya ndani ya kigaidi kabla ya kuwafata wana CDM.
Mleta mada inaonekana kuna kitu unajaribu kukificha sijui kwa makusudi ama hujui waambie wana JF nikikao gani emwagiwa tindikali alipaswa kuhuzuria, je hao watu waliomgongea mpaka akafungua dirisha hajawajua hata kwa sauti...
Mungu hatakaa awafiche watu wabaya na atawapa maisha marefu ili waweze kushuhudia uzandiki wao ukidhihirika hata kwa wale waliokuwa hawaelewi kinachoendelea hapo kabla.Na hao ni CDM?? mmeparanganyika na hata hamuwezi kurudi kuwa wamoja tena kwa laana ya kuua na kuibia watanzania.
Chadema mtatumaliza jamani tuoneeni huruma sisi ni binadamu kama nyie.