yaani sasahivi ikitokea kuna kata iko wazi, watazunguka nae mpaka akome...Watu wanakugongea usiku kama huwajui unafubguake dirisha ili kuongea nao?!
Mnachezeana michezo ya kipuuzi wenyewe kwa wenyewe.
Sasa huyu nae atakuwa kinyago cha Mwigulu au Kinana?
​Hivi bado mna akiba ya kutosha kwa ajili ya kuwadhibiti wenzenu!Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.
Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.
Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.
GAIRO
---------------------------------------
serikali ya CCM imebinafsisha karibu vitega uchumi vyetu vyote kinachonisikitisha ni CCM kuamua kubinafsisha Akili yako pia na ndo maana CCM wanaitumia watakavyo na moja ya matumizi yake ni hiki ulichokiandika kwani ukuandika kwa matakwa yako bali kwa hao uliowabinafsishia hiyo akili yako.Kitendo cha lwakatare kuwa nje ni tatizo kubwa.
we malaya kama huna cha kuchangia kaa kimya.kwahiyo Chadema mmejihalalishia staili ya tindikali kwa kwenda mbele
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.
Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.
Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.
GAIRO
---------------------------------------
Kwani wakina Kileo wameachiwa kule Tabora?
Wana ccm na wengine wote wenye mapenzi mema tuzindi kumuombea ili aweze kupona:
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
Mkiambiwa mwache kunnywa vuroba asubuhi hamtaki,haya ndiyo madhara yake mnaanfika utumbo.
kwahiyo Chadema mmejihalalishia staili ya tindikali kwa kwenda mbele