peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Duh...!.Wanachama wa chama cha mapinduzi,wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya,siku ya 5 Sasa haonekani.
Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Wanamtafuta ofsini au Nyumbani kwake.Wanachama wa chama cha mapinduzi,wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya,siku ya 5 Sasa haonekani.
Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
AshuraWamcheki na kule tabata kwa Aisha sijui.....
CCM WAMEANZA KUTEKANA KISA UCHAGUZIWanachama wa chama cha mapinduzi,wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya,siku ya 5 Sasa haonekani.
Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
😆😆😆😆😆Kama ni CCM hakuna hasara
Mwendo Kasi.Kama ni CCM hakuna hasara
Tumuombee sana.. Walau Sukununu alijulikana kachukuliwa na akina naniWanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.
Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Labda wamegundua ana connection na mwamba wanataka kumla kichwa.Kama ni CCM hakuna hasara
Chimbo la mi-CCMWamcheki na kule tabata kwa Aisha sijui.....
Au na huyu wamekutuma kama kule kwa Ole Mushi? Ila ukabadili style kutoka ya vimiminika na kutumia ya kupoteza mazima?Atakua yupo na Manyapaa
Hahaha
Umesahau Manyapaa alifumaniwa na nke ya ntu katibu wenu wa sakosi ya Mtei
Vipi ikigundulika hata beni saanane kafichwa kwa Aisha tabataWanamtafuta ofsini au Nyumbani kwake.
Kuna Diwani Kawe alifichwa kwa Ashura Tabata.
Ndio zao hizo.
Kashapiga mpunga hapo