Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Sasa mnaanza kutujia na maigizo mapema yote hiyo,ngoja chaguzi zifike🤔
 
Si tulishakubaliana kwamba Magufuli ndo alikiwa anawpoteza na kwamba sasa tuna mama mfariji mkuu,ameimarisha demokrasia na kwamba anafungua nchi na ana upendo imekuwaje tena?
Magufuli na mama wote ni CCM ile ile isiyo na huruma.
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Wacheki ofisini kwa dc wake
 
CHADEMA wameanza kuteka watu.

Wakipata Dola itakuwaje sijui?.

Kwani kwa Saisa zao za Visasi, Vinyongo na makasiriko-haya yamewafurahisha sana.

Chagua kwa Umakini 2025
Wewe mbwa huyo alipanda sgr yuko njiani anaenda moro
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Bila shaka huyu ndie alieandika barua ya siri kipindi kile? Itakuwa wenzie wamemmind?
 
Back
Top Bottom