Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Kama alikuwa mtu wa matukio muda wake wa kushikishwa adabu umewadia.
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Atakuwa ameenda Kwa hawara yake ama amejiteka ... Si ndio Majibu mnatoaga wakipotea wa upamde ule!??
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Je, wanawake wote wa eneo hilo wapo? Kama kuna anayekosekana anzieni hapo.
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
"Wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti..."

Waambie angekuwa yumo stoo ya ofisi za chama au chooni angeshatoka siku ya tano sasa.

Watoke nje ya ofisi za chama, waakanzie polisi na kufanya canvassing and announcing ndani na nje ya mji.
 
Nakumbuka kuna mmoja alifichwaga na ASHURA huko tabata.
Hahahahahahahaahahahahahahaa.....
Wanasiasa hawa...! Shida sana.
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Si tulishakubaliana kwamba Magufuli ndo alikiwa anawpoteza na kwamba sasa tuna mama mfariji mkuu,ameimarisha demokrasia na kwamba anafungua nchi na ana upendo imekuwaje tena?
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
kwani kapotelea ofisini ili washinde hapo wakimtafuta
 
Back
Top Bottom