Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
 
Attachments

  • VID-20240629-WA0008.mp4
    2.8 MB
Kama ni CCM hakuna hasara
Mmmhh!

Lakini kumbuka tu kwamba siyo kweli hata kidogo kwamba Wana CCM wote kabisa ni Watu wabaya au watu waovu, wapo baadhi yao ambao ni Watu wema Sana, sema idadi yao ni ndogo huko CCM ukilinganisha na idadi ya Watu waovu waliopo huko.
Huu ndio ukweli mchungu.
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Kajiingiza ndani ngia ya 18 ya wenye nchi huyo - tukamsake pori la Katavi kabla hajaliwa na fisi.
 
Back
Top Bottom