🤣🤣🤣Machawa wa Lisu hawapo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Machawa wa Lisu hawapo???
Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.Hivyo Mtu Anayotoka Kanda Ya Kaskazini Kweli Atampinga Mbowe! Ata Akifa Wapo Tayari Kumweka Lema Ila Sio Lisu
Kwanini unaamini hivyo?Kwa sasa kama Mbowe atataka kuchukua form basi hakuna ndani ya CDM wa kuchuana naye- unless mtu ajitokeze tu just to make a number na ku update CV yake.
Kama inakuuma tafuta kiwembe tafuna umeze - lakini huo ndiyo ukweli.
Lakini si amechaguliwa na wanachama wa CDM Dar juzi juzi tu? Au wewe ndio humtaki?Wajinga Kama Hawa hawatakiwi cdm kwa Karne hii!
Wewe Sio Mchaga...Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.
Ni kilaza, taahira ama mpumbavu tuu ndiye anayeweza ongelea ukabila na ukanda zama hizi.
Tatizo la CDM kila mwanachama ni Kampale!! Mzee Duni alishasema aliyaona wakati anagombea Umakamu wa Urais na Lowassa mwaka 2020.Machawa wa mbowe katika ubora wao
Mkuu asante sana, kwa siku nyingi CHADEMA kumekuwa na tuhuma za UKABILA na UKANDA na tuhuma hizi zimeanza kujithibitisha.Hivyo Mtu Anayotoka Kanda Ya Kaskazini Kweli Atampinga Mbowe! Ata Akifa Wapo Tayari Kumweka Lema Ila Sio Lisu
Huyu bwege ndiyo maana alikimbiwa na mkeMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185
Pia, Soma:
• Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Kilroy sio mchagaYeye na wachaga wenzake
Unamhitaji Mbowe kama Makonda anavyo mhitaji Samia! Sasa hapo unadhani watu hawaelewi lugha rahisi kama hiyo?Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185
Pia, Soma:
• Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Mbowe Siyo MunguBila Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa
Ndiyo maana huwa sikubaliani nadhana mbovu kabisa ya kurundika watu wote katika makundi kwa sababu yoyote ile. Mtambue mtu kwa tabia/misimamo/uamini wake, siyo kwa sababu tu ya sehemu aliyopo/anayo tokea au imani aliyo nayo.Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.
Ni kilaza, taahira ama mpumbavu tuu ndiye anayeweza ongelea ukabila na ukanda zama hizi.
Waelekee wapi wakati wapo wamejisimika ndani ya CHADEMA?itamu wa mambo ni kuwa Lisu na wafuasi wake hawana pakuelekea
Waelekee wapi wakati wapo wamejisimika ndani ya CHADEMA?
Na wewe ndiye mshika "ukweli" wote!Kwa sasa kama Mbowe atataka kuchukua form basi hakuna ndani ya CDM wa kuchuana naye- unless mtu ajitokeze tu just to make a number na ku update CV yake.
Kama inakuuma tafuta kiwembe tafuna umeze - lakini huo ndiyo ukweli.