Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivyo Mtu Anayotoka Kanda Ya Kaskazini Kweli Atampinga Mbowe! Ata Akifa Wapo Tayari Kumweka Lema Ila Sio Lisu
Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.
Ni kilaza, taahira ama mpumbavu tuu ndiye anayeweza ongelea ukabila na ukanda zama hizi.
 
Kwa sasa kama Mbowe atataka kuchukua form basi hakuna ndani ya CDM wa kuchuana naye- unless mtu ajitokeze tu just to make a number na ku update CV yake.

Kama inakuuma tafuta kiwembe tafuna umeze - lakini huo ndiyo ukweli.
 
Kwanini unaamini hivyo?

Ni nini hakukifanya ndani ya miaka 20 ya Utawala wake unategemea atakifanya sasa?
 
Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.
Ni kilaza, taahira ama mpumbavu tuu ndiye anayeweza ongelea ukabila na ukanda zama hizi.
Wewe Sio Mchaga...
Kwa Taarifa Yako Akiondoka Mbowe Na Wachaga Wote Wataondoka Tuliona Kipindi Hicho Cha Nccr
 
Basi, Mbowe ameshashinda, Lissu dikteta, hawezi kukabidhiwa chama, half mbinafsi atakuwa anafatilia makesi yake na tigo huko ughaibuni
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Huyu bwege ndiyo maana alikimbiwa na mke
 
Unamhitaji Mbowe kama Makonda anavyo mhitaji Samia! Sasa hapo unadhani watu hawaelewi lugha rahisi kama hiyo?

Upo hapo kwa sababu Mbowe alikuwezesha kuwa hapo. Bila Mbowe wewe usinge kuwa mahali hapo.

Sasa kama CHADEMA nayo ni muundo ule ule wa CCM kwa nini watu wahangaike na nyinyi, badala ya kuendelea tu na hiyo CCM ambayo mambo yake yamezoeleka!
 
Mimi sitoki Kaskazini tuu,natoka "Israel" ya Tanzania, yaani Kilimanjaro na bado simuungi mkono kaka Mbowe.
Ni kilaza, taahira ama mpumbavu tuu ndiye anayeweza ongelea ukabila na ukanda zama hizi.
Ndiyo maana huwa sikubaliani nadhana mbovu kabisa ya kurundika watu wote katika makundi kwa sababu yoyote ile. Mtambue mtu kwa tabia/misimamo/uamini wake, siyo kwa sababu tu ya sehemu aliyopo/anayo tokea au imani aliyo nayo.
 
Kura zikipigwa mtandaoni Lissu atashinda kwa kishindo ila kama zina wajumbe wa mkutano mkuu Mbowe anashinda mapema sana.
 
Kwa sasa kama Mbowe atataka kuchukua form basi hakuna ndani ya CDM wa kuchuana naye- unless mtu ajitokeze tu just to make a number na ku update CV yake.

Kama inakuuma tafuta kiwembe tafuna umeze - lakini huo ndiyo ukweli.
Na wewe ndiye mshika "ukweli" wote!
Watu mnageuka kuwa machizi mchezo mchezo hivi?
 
Back
Top Bottom