Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Asante, nakuombea uende mpaja uwe Justice of appeal kama uko kwenye legal profession!
 
Uwezekano wa Mbowe kushinda hii kesi ni mdogo kwa kuwa dharau alizofanya zilikuwa za wazi kabisa akitegemea mabwana wake wa Brussels ( EU ) watamtetea, acha apate anacho stahili iwe fundisho kwa wote pia.
Mabwana unao wew wanakugonga nyuma.
 
Mimi nina wasiwasi na Afya ya Mwenyekiti akitoka anatakiwa apime damu haraka inawezekana kabisa keshalishwa sumu,juzi wamejifanya kuwapima Wafungwa HIV kama na yeye alikuwemo lilikuwa Lengo la kujua stage ya Sumu.
Kwani mwenyekiti mmeshamhukumu kifungo hadi umuite kuwa ni mfungwa
 
KWAHIYO UNATAKA AUGUE AU???
Akiwa mzima tabu,akiugua tabu
 
Liko wazi hilo MBONA ilkuwa Mbowe awe ndani ili Lowasa arudi ccm, kuzima nguvu ya Membe. Mjamaa anawahitaji sana Rostam na Lowasa ili afanikiwe kisiasa, kumbuka keshavuruga Makundi mengi hasa wafanyabiashara
 

ungekuwa s.africa siku nyingi marinda huna kwa kuongea utumbo wa samaki
 
Umebaki kwako, mbona kuna siku alishindwa kuja mahakani afya yake haikuwa poa?
 
Macho shiba... Maskio tosheka....
 
Kwani Chadema wana siri gani hadi Mbowe aondolewe Ufipa ndio siri zichukuliwe?!!
 
Viongoz wanao waonea watu wamejisajil kwa shetani huwa nawashangaa wakiingia kwenye nyumba za ibada cjui wanaenda kufanya nini?
 
Umefaidikaje kukaa kwake Ndani?
nenda ukamshauri aache kudharau mahakama atapotea yule nyau wenu, chini ya magufuli sheria zinafuatwa na kuheshimiwa, magu sio mkwele. wakati anavunja sheria mlikua wapi kumrudisha kwenye reli sahz mnaishia kutia huruma.

yule kama akiachiwa tena kwa dhamana itakua ni huruma tu ya mahakama imemshukia otherwise boss wenu hatoki hadi kesi ya msingi iishe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani mtu umpe kugombea urais, kwamba anaenda kuwa rais wa nchi alafu usimpe siri na mikakati yenu? Kwa chadema ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako unafikiri hata Magufuli alikuwa anajua kila kitu kuhusu ccm Mara tu alupoteuliwa kuwa mgombea? Huijui Party system running kaa kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tuambie ni nini kinachoendelea maana saa saba tayari.
 
Kama ni kuvunja sheria watu wengi tu wanavunja sheria. huna sababu ya kumdhihaki binadamu mwenzio kwa kumuita nyau kaumbwa kwa udongo kama wewe. haya ni mapito anapitia na iko siku yataisha. matatizo na taabu tumeumbiwa binadamu wote.hapa tunapita tuu.
 
watakuwa wamejifunza ngoja wakapate hewa ya uraiani kidogo wakileta jeuri wanarudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…