Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Wakionekana wanapaswa kuwa nje kwa dhamana, Je watalipwa fidia ya kuwekwa ndani muda wote huo!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pana haja ya kurejesha malipo ya fidia na kuwajibishwa kwa wahusika kila inapodhihirika kwa mtu kushikiliwa pasipokuwa na umuhimu.

Hii ingeweka kuwajibika tunaoukosa sasa tokea upande wa DPP, polisi na wale wateule wenye mzuka wa kuweka watu ndani.
 
mambo ya kunajisi sheria
 
Reactions: BAK
Mwenyekiti amwage Mawili Matatu..Kuhusu ule Upuuzi wa Uhuru 1961 wa Mgeja.
 
siyo haki kabisa tunakata rufaa tena haiwezekani waizarau mahakama tena wapate dhamana mara ya pili hao wanatakiwa waendelee kusota mpaka wakome
Kwa hiyo rafiki yako akiwa anakazwa na basha wake utataka ukazwe wewe!? Yaani dharau ifanyiwe mahakama kuumia uumie wewe!? Au uko ofisini kwa DPP!?
 
BREAKING NEWS .....
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING NEWS .....
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda nasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Esther Matiko dhamana akipewa atimue mbio akawakumbatie polisi awaombe wampe ulinzi hadi nyumbani huyo mkware Mbowe asije mngangania ukitilia maanani kakaa ndani muda mrefu ana usongo.
Comments zenu zinaonesha mmechoka kungojea uteuzi wa favour kutoka kwa jiwe. Vuteni subira mtakumbukwa tu. Ila comments hizi zinaonesha kuna shida kwenye bongo zenu.
 
Jamani tupeni update ya mahakamani hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…