Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz ndio maana nasikia mapikipiki eeeeee Power
 
BREAKING NEWS .....
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda mbona unamhujumu Zitto Kigoma,kwa maslahi ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani siyo mahakama zinazoamua kuna kundi la majaji wa CCM. NI AIBU YAO

Shangazi TLS alipendekeza hizi kasoro ziendane na kudai fidia. Tumuunge mkono
 
Hii move imekaa kabisa kama ile ya "Mo" mahakama msishangae mkiambiwa Watanzania sio wajinga
 
Kwa hiyo rafiki yako akiwa anakazwa na basha wake utataka ukazwe wewe!? Yaani dharau ifanyiwe mahakama kuumia uumie wewe!? Au uko ofisini kwa DPP!?
Jibu Muafaka!...nilitaka nianze umenijibia
 
Mh. Jaji Rumanyika, pia inapaswa watoa haki pamoja na vifungu vya sheria waongozwe na weledi na kumuogopa Mwenyezi Mungu.
 
BREAKING NEWS .....
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
jiwe kesha mpandisha cheo hakimu mashauri na kuwa jaji.
 
BREAKING NEWS .....
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu ambariki sana Jaji Rumanyika
 
Anayedhani mateso waliyopata Mbowe na Matiko yatapotea bure atakuwa anajidanganya , Kisasi ni lazima .
 
Back
Top Bottom