Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha u Ufipa wako. Zitto kasema mahakama za Tanzania zinatenda haki. Hujamsikia hapo juu?Acha u Lumumba ni for some few judicial officers who can resist Jiwe's orders! "Jaji" Wlbard Mashauri nawashauri watanzania wakatae kupelekewa kesi zako! wamkatae ingawa litakataa kujitoa
Huyo kibaraka wa jiwe aliyefanya ujinga huu amepandishwa cheo na kuwa jaji ili azidi kuwa anapokea maagizo kutoka MagogoniJaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.
1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.
Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.
Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika
Zitto Kabwe
7/3/2019
Kama Mungu mwenyewe alishuka baada ya Lissu kupigwa risasi na hakutaka kumtuma malaika Gabriel basi ni wazi pia hata leo Mungu mwenyewe alishuka mwenyewe. Ipo pia siku Mungu atashuka kumhakiki hakimu aliyemfutia dhamana isivyo halali.Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamis Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya voingozi wakuu wa Chama na wabunge 7 wa CHADEMA.
______________________
Update..
Hukumu ya Rufaa ya dhamana ya Freeman Mbowe pamoja Esther Matiko itaanza kusoma majira ya saa saba mchana
Simjui huyo jaji. Ninachojua ni kuwa mahakama zinatenda haki.Msalimie Jaji mpya wa mahakama kuu Wilbard Mashauri. Tuliyaongea haya huko nyuma.
Tutakata rufaa kupinga hukumu hiiJaji Rumanyika atoa vipengele tisa kumuachoa Mbowe na matikonavyo ni:-
Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.
1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.
Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.
Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika
Zinatenda haki kwenu.Simjui huyo jaji. Ninachojua ni kuwa mahakama zinatenda haki.
Ndoto za mchana!Haya mambo yatakuja kuandikwa baadae kwenye vitabu na masimulizi siku magufuri akifa.. tumeona viongozi wengi wakisimuliwa huko YouTube mabaya yao...
Story yako Pombe itasumiliwa na ananiasi Edgar..na kuandaliwa na denis mbagaza...
Pombe uliingia madarakani madaraka yaka kulevya.. ukazaaa,
ukafukuza,
ukatesa,
ukateka,
ukaporomosha uchumi,
ukaminya ajira,
ukabana mishahara na kupandisha madaraja ya watumishi,
ukawafunga wapinzani,
ukauwa,
ukafanya kila njama kuuwa upinzani, UKATEUWA wanao kusujudia tuu,
NCHI ukaiendesha utakavyo sio katiba itakavyo n.k
POMBE STORY YAKO ITAKUJA KUANDIKWA SIKU UKIFA.. UTAZIDIWA ATA NA RUGE MTAHABA..HUNA WEMA WOWOTE WA KUKUMBUKWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa unamwota lissu usingizi .Tunasubiri tusikie yake na Lissu.
Unaongea ujinga gani? Fidia ya nini kwa kukiuka sheria ya dhamana? Kwanza inabidi waishukuru mahakama kuu!Wakionekana wanapaswa kuwa nje kwa dhamana, Je watalipwa fidia ya kuwekwa ndani muda wote huo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unafikiri hata wale wengine hawajui sheria?? Suala hapa ni yule anaetoa maagizo ya kuingilia mihimili mingine ndio anatakiwa atafutiwe dawa.Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.
1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.
Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.
Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika
Zitto Kabwe
7/3/2019
makaburini amaendelea kujidanganya, magu tunae hadi 2030
Kwa Mbowe na Matiko.Zinatenda haki kwenu...
Mimi si Ufipa. Sina unasaba na Ufipa,. Hoja yangu ni wapinzania watendewe haki! Angalia Judgement, Judge amemuumbua huyu fidhuli wa Kisutu (now "Judge" of the high court, , najisi ya High court)Acha u Ufipa wako. Zitto kasema mahakama za Tanzania zinatenda haki. Hujamsikia hapo juu?