Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

ila Easter matiko mzuri kwelikweli,nilikuwa sijawahi kumwona,hivi kaolewa huyo binti?
 
Acha u Lumumba ni for some few judicial officers who can resist Jiwe's orders! "Jaji" Wlbard Mashauri nawashauri watanzania wakatae kupelekewa kesi zako! wamkatae ingawa litakataa kujitoa
Acha u Ufipa wako. Zitto kasema mahakama za Tanzania zinatenda haki. Hujamsikia hapo juu?
 
Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.

Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika

Zitto Kabwe
7/3/2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kibaraka wa jiwe aliyefanya ujinga huu amepandishwa cheo na kuwa jaji ili azidi kuwa anapokea maagizo kutoka Magogoni
 
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamis Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya voingozi wakuu wa Chama na wabunge 7 wa CHADEMA.
______________________
Update..
Hukumu ya Rufaa ya dhamana ya Freeman Mbowe pamoja Esther Matiko itaanza kusoma majira ya saa saba mchana
Kama Mungu mwenyewe alishuka baada ya Lissu kupigwa risasi na hakutaka kumtuma malaika Gabriel basi ni wazi pia hata leo Mungu mwenyewe alishuka mwenyewe. Ipo pia siku Mungu atashuka kumhakiki hakimu aliyemfutia dhamana isivyo halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaji Rumanyika atoa vipengele tisa kumuachoa Mbowe na matikonavyo ni:-
Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.
Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika
Tutakata rufaa kupinga hukumu hii
 
Haya mambo yatakuja kuandikwa baadae kwenye vitabu na masimulizi siku magufuri akifa.. tumeona viongozi wengi wakisimuliwa huko YouTube mabaya yao...

Story yako Pombe itasumiliwa na ananiasi Edgar..na kuandaliwa na denis mbagaza...

Pombe uliingia madarakani madaraka yaka kulevya.. ukazaaa,
ukafukuza,
ukatesa,
ukateka,
ukaporomosha uchumi,
ukaminya ajira,
ukabana mishahara na kupandisha madaraja ya watumishi,
ukawafunga wapinzani,
ukauwa,
ukafanya kila njama kuuwa upinzani, UKATEUWA wanao kusujudia tuu,
NCHI ukaiendesha utakavyo sio katiba itakavyo n.k

POMBE STORY YAKO ITAKUJA KUANDIKWA SIKU UKIFA.. UTAZIDIWA ATA NA RUGE MTAHABA..HUNA WEMA WOWOTE WA KUKUMBUKWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto za mchana!
 
Tunasubiri tusikie yake na Lissu.
Wewe utakuwa unamwota lissu usingizi .

Una roho mbaya sana hata shetani hakufikii

Halafu ndio unajitanabaisha kwamba muislamu safi

Wanafiki kama nyie ndio MTU mtakuwa kuni huko motoni

Ukiumia sana baada ya hii comment yangu kanywe chai utapoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.

1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.

Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.

Tanzania bado Ina majaji kwa hakika. Mola ampe maisha marefu Jaji Sam Rumanyika

Zitto Kabwe
7/3/2019
Mkuu unafikiri hata wale wengine hawajui sheria?? Suala hapa ni yule anaetoa maagizo ya kuingilia mihimili mingine ndio anatakiwa atafutiwe dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama Kuu imetoa uamuzi wa kuwapa dhamana Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, leo mchana.

Jaji Rumanyika amesoma uamuzi huo ambao umewapa ushindi wanasiasa hao dhidi ya pingamizi lililokuwa limewekwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuzuia dhamana yao.

Mbowe na Matiko walikata rufaa Mahakama Kuu baada ya kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu wa kuwafutia dhamana kwa kutohudhuria mahakamani.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilisema kuwa imefikia uamuzi huo baada ya wawili hao kushindwa kufika Mahakamani kusikiliza kesi ya jinai inayowakabili bila sababu za msingi, wakiwa miongoni mwa viongozi saba wa Chadema.

Walikata rufaa Mahakama Kuu kupitia hati ya dharura sana, Novemba mwaka jana, lakini Mwendesha Mashtaka alikata rufaa pia Mahakama ya Rufaa akipinga Mahakama Kuu kusikiliza rufaa ya akina Mbowe akieleza kuwa ilikuwa kinyume cha sheria.
 
Back
Top Bottom