Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
What goes around comes aroundIpo siku meza itageuka. CCM watafanyiwa haya haya wanayofanyia wenzao, na watakua wanalalamika na kupiga kelele hivi hivi.
Na raia wataziba masikio yao kama hawaoni.
RBC mbona hunijibu Mkuu wangu?What goes around comes around
Mjomba ni kipi hukijui kuhusu Polisi wa Tanzania ?Daaaah....
Vipi kuhusu mwanasheria wake,naye amenyimwa nafasi ya kumuona?
Lissu alipouawa kwa maagizo kutoka juu kwa kutandikwa risasi 38 sababu zake uliambiwa ?Akamatwe tu bila sababu?
Cdm mnapenda kudekaaa
Yaani msichukuliwe hatua Kama mmekosea
Mnaanza kulilalia kwa wananchi
Kumbe lisu aliuawa?Lissu alipouawa kwa maagizo kutoka juu kwa kutandikwa risasi 38 sababu zake uliambiwa ?
Lissu aliuawa akafufuliwa na MunguKumbe lisu aliuawa?