Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
FB_IMG_1583647699441.jpg

Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa Mbeya .

Sababu za kukamatwa kwake hazifahamiki lakini bila shaka ni zile zile za siku zote za kuwa kiongozi wa Chadema aliyekataa kununuliwa

Tunatoa wito kwa IGP kuhakikisha Mwambigija anaachiwa mara moja tena bila masharti yoyote , Kukataa kujiuza halijawahi kuwa kosa mahali popote
 
View attachment 1380564

Acha mzaha, lundo la askari wenye siraha za kivita! Jambazi?
 
View attachment 1380564

Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa Mbeya .

Sababu za kukamatwa kwake hazifahamiki lakini bila shaka ni zile zile za siku zote za kuwa kiongozi wa Chadema aliyekataa kununuliwa

Tunatoa wito kwa IGP kuhakikisha Mwambigija anaachiwa mara moja tena bila masharti yoyote , Kukataa kujiuza halijawahi kuwa kosa mahali popote
Mbatia ameshaondoka huko Mbeya?
 
Watashindana na hawatashinda. Wajikite kugeuza wananchi wawapende wao viongozi wetu watuachie. Kwanini awamu ya tano inangangania wapendwe na viongozi wetu na sio kuoendwa na wananchi.??
 
Updates : Mwambigija amekamatwa kwa sababu ya kuwaonya madiwani walionunuliwa kuacha kuwa convice madiwani waliosalia ili nao waunge juhudi
 
Nasikia Mbowe amejipanga na anajua atafungwa na kazi ameshamaliza!!!japo hatujui ni kazi gani hasa!!!sijamuelewa!!Ana maanisha safu ya kampeni imekamilika hata kama yeye yupo gerezani???
 
Nani kasema kwasasa mnatofauti na M7,Kagame,Nkurunzinza?
 
Back
Top Bottom