Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kila taarifa tunayo mkuu
Acha mzaha, lundo la askari wenye siraha za kivita! Jambazi?View attachment 1380564
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa Mbeya .
Sababu za kukamatwa kwake hazifahamiki lakini bila shaka ni zile zile za siku zote za kuwa kiongozi wa Chadema aliyekataa kununuliwa
Polisi wanapotumwa na ccm lolote linawezekana , waangalie hawaAcha mzaha, lundo la askari wenye siraha za kivita! Jambazi?)
Atashindwa vibaya sana !Hichi ndiyo Dr.Bashiru alimaanisha pale aliposema CCM inatumia dola kupambana na wapinzani wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia ameshaondoka huko Mbeya?View attachment 1380564
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa Mbeya .
Sababu za kukamatwa kwake hazifahamiki lakini bila shaka ni zile zile za siku zote za kuwa kiongozi wa Chadema aliyekataa kununuliwa
Tunatoa wito kwa IGP kuhakikisha Mwambigija anaachiwa mara moja tena bila masharti yoyote , Kukataa kujiuza halijawahi kuwa kosa mahali popote
Hichi ndiyo Dr.Bashiru alimaanisha pale aliposema CCM inatumia dola kupambana na wapinzani wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia ameshaondoka huko Mbeya?
Kwanini swali hilo asiulizwe Chalamila ?Mbatia ameshaondoka huko Mbeya?
Bashiru anajuta kuifahamu ITVTunamshukuru sana dada yetu Mhavile kumpatia nafasi Bashiru kutupatia ukweli wa mambo
In God we Trust
Lakini katiba ya JMT imekataza police kujihusisha na siasa? Au jamaa alisahau?Hichi ndiyo Dr.Bashiru alimaanisha pale aliposema CCM inatumia dola kupambana na wapinzani wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watashindana na hawatashinda. Wajikite kugeuza wananchi wawapende wao viongozi wetu watuachie. Kwanini awamu ya tano inangangania wapendwe na viongozi wetu na sio kuoendwa na wananchi.??View attachment 1380564
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa Mbeya .
Sababu za kukamatwa kwake hazifahamiki lakini bila shaka ni zile zile za siku zote za kuwa kiongozi wa Chadema aliyekataa kununuliwa
Tunatoa wito kwa IGP kuhakikisha Mwambigija anaachiwa mara moja tena bila masharti yoyote , Kukataa kujiuza halijawahi kuwa kosa mahali popote
CCM ya awamu ya 5 haijawahi kuheshimu katiba ya nchiLakini katiba ya JMT imekataza police kujihusisha na siasa? Au jamaa alisahau?
Bashiru anajuta kuifahamu ITV