Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

Nasikia Mbowe amejipanga na anajua atafungwa na kazi ameshamaliza!!!japo hatujui ni kazi gani hasa!!!sijamuelewa!!Ana maanisha safu ya kampeni imekamilika hata kama yeye yupo gerezani???
Gerezani wanafungiwa watu mkuu...Naiona taratibu Rwanda,Uganda na Burundi ikijiunga na Tanzania
 
Mwambigija aachiwe huru haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…