Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,358
Inasikitisha sana kuwa vurugu za kipuuzi zinapoteza uhai wa raslimali muhimu za taifa.
Ila nikusahihishe kuwa Kova hana mamlaka y kiutendaji huko lilikotokea tukio.
Kuna "Kova" mwingine wa huko ndo anawajibika na ujumbe wako
Nakumbuka hata mgombea ubunge Geita mjini alishasema kuwa wana harakati wote wa upinzani kanda ya ziwa wanawindwa sana..ni kwamba kitengo wanataka kufuta kabisa upinzani mkoani Geita na kanda yote ya ziwa ambapo mkuu anatoka
Tulia uandike vyema. Kisa nini? Hali yake inaendeleaje? Je tukio limetokeaje?
Magufuli tunataka haki itendeke lasivyo tunakushitaki kwa Mungu
we we binadamu kweli? Maisha ya binadamu mwenzio yamekatishwa unaandika upuuzi kama huu?Ni kuzidiana kumbe. Ila mi nadhani siyo green guard. Huyu jamaa atakuwa alikura hela ya mamvi hakuifikisha kunako, maana fisadi aligawa pesa wapewe wapiga kura, sasa yeye kama aliila ndiyo basi. Wote mliochukua hela ya fisadi na hamkufikisha mjiandae. Mimi siamini kama vijana wa ccm wanahusika
Rip, isije ikawa kavamiwa na Mawakala wanaodai pesa zao wakadhani Ndg Mwenyekiti kazila kumbe Mtaa ufipa hawakuzituma kama ilivyotokea Rukwa, Njombe na Ruvuma
Acha ujinga CCM mmeua shame on you.Na kampeni zote zile ccm waje wamuue uchaguzi umeshapita na wameshinda?,aah wapi hapa kuna kitu,wote mliokula pesa ya laigwanan kaeni chonjo,,,
Sad News: Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alfonse Mawazo amevamiwa na kuuawa...
mwenye habari zaidi atujuze mimi nime copy na ku paste tu
Hela za mamvi hizo.we we binadamu kweli? Maisha ya binadamu mwenzio yamekatishwa unaandika upuuzi kama huu?