TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana kuwa vurugu za kipuuzi zinapoteza uhai wa raslimali muhimu za taifa.
Ila nikusahihishe kuwa Kova hana mamlaka y kiutendaji huko lilikotokea tukio.
Kuna "Kova" mwingine wa huko ndo anawajibika na ujumbe wako

Asante...i am crying
 
ccm kuua hawajaanza leo hata kule mara vijana wa cdm walipigwa mapanga na wengine kuuliwa. jeshi la polis lilikaa kimya...hata kwa hili sijuii...
 
R.I.P kamanda Mawazo inauma sana pumzika salama kamanda
 
Daaah vijana wa jf bhana mi huwa napita kimya kimya tu ila mhhhhh 😤😤
 
Nashindwa kuelezea machungu niliyonayo kwa kufiwa na Mawazo. Najuta kuwa mwana CCM kabla sijaondoka mwaka huu chama hatari sana hasa kwenye madaraka. Mawazo aliweka pingamizi kwa huyu "sata" Laurencia Bukwimba na alikuwa na kila ushahidi wa kushinda kesi. Sasa njia aliyoona inafaa ni hiyo. Haiwezekani damu yake iende hivihivi kama ya kuku.
 
Nakumbuka hata mgombea ubunge Geita mjini alishasema kuwa wana harakati wote wa upinzani kanda ya ziwa wanawindwa sana..ni kwamba kitengo wanataka kufuta kabisa upinzani mkoani Geita na kanda yote ya ziwa ambapo mkuu anatoka

hii habari ina ukweli kiasi fulani....
 
Ni kuzidiana kumbe. Ila mi nadhani siyo green guard. Huyu jamaa atakuwa alikura hela ya mamvi hakuifikisha kunako, maana fisadi aligawa pesa wapewe wapiga kura, sasa yeye kama aliila ndiyo basi. Wote mliochukua hela ya fisadi na hamkufikisha mjiandae. Mimi siamini kama vijana wa ccm wanahusika
we we binadamu kweli? Maisha ya binadamu mwenzio yamekatishwa unaandika upuuzi kama huu?
 
Na kampeni zote zile ccm waje wamuue uchaguzi umeshapita na wameshinda?,aah wapi hapa kuna kitu,wote mliokula pesa ya laigwanan kaeni chonjo,,,
Acha ujinga CCM mmeua shame on you.
 
R.I.P commander.
Tuaanza kuhesabu, bado kidogo icc itahusika.
 
Sad News: Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alfonse Mawazo amevamiwa na kuuawa...
mwenye habari zaidi atujuze mimi nime copy na ku paste tu

Siasa zimetupeleka pabaya. RIP KAMANDA MAWAZO.
 
Hivi ingekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita ndio kauwawa na Red Brigade kwa mapanga na nyundo hali ingekuwaje huko? IGP si angepeleka vikosi vyote vya FF kanda ya ziwa eneo la tukio?
 
hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa kamwe. nimekumbuka wale vijana wa cdm waliopigwa mapanga tarime na wafuasi wa ccm hakuna hatua iliyochukuliwa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom