Na kampeni zote zile ccm waje wamuue uchaguzi umeshapita na wameshinda?,aah wapi hapa kuna kitu,wote mliokula pesa ya laigwanan kaeni chonjo,,,
RIP kamanda mawazo
Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.
Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.

Very right...RIP kamanda mawazo

Jesus...nini hiki kwa komredi Mawazo....nakosa cha kusema...
Mbona watu wamekuwa kama wanyama pori WA Serengeti hawana hata ufahamu WA kibinadamu? Natumaini hao wahalifu watashughulikiwa na sheria r.i.p kamanda
mbona Tanzania imebadilika hivi??ndiyo Tanzania ile nayoifahamu mimi kisiwa cha amani na kuvumiliana au Ni nchi mpya hii ?? Uwiiiiiiii mpaka machozi yananitoka. Justice should prevail.
Hamjishughulishi na kueleza chanzo cha tukio, mazingira ya hilo tukio, mnachoona ni sahihi kwenu ni kusema "wanaosadikiwa kuwa vijana wa ccm"
Dah natangaza vita kwa mwanaccm yoyote uwe ndugu ama rafiki
Hivi ingekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita ndio kauwawa na Red Brigade kwa mapanga na nyundo hali ingekuwaje huko? IGP si angepeleka vikosi vyote vya FF kanda ya ziwa eneo la tukio?