TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
RIP kamanda mawazo

Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.

Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.
 
Na kampeni zote zile ccm waje wamuue uchaguzi umeshapita na wameshinda?,aah wapi hapa kuna kitu,wote mliokula pesa ya laigwanan kaeni chonjo,,,

Tuliza kichwa wewe, kampeni zinaendelea za diwani kata ambayo ilikuwa haijafanya uchaguzi, hela mle nyie escro, mumsingizie lowasa ufisadi.nnyoo.
 
*Alale pema peponi kamanda
.*Alale pema peponi kamanda
 
RIP kamanda mawazo

Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.

Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.

Unamaana cdm na cuf ndiyo wauwaji

hustahili kuitwa mwanadamu maana uwezo wako kiajili ni duni kuliko mbwa.

Umeshasikia popote hao uliwataja wameuwa? Au wao ndio wanauwawa, kutiwa lockup na kupigwa.
 
RIP kamanda mawazo

Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.

Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.

Tunauwana kwa sababu ya sasa..haya sasa hao vijana wa ccm walio muuwa wamenufaika nini?
Hata kama aliubiri ssasa za Shari ndio Mumtoe duniani mawazo?
 
RIP kamanda mawazo

Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.

Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.
Very right...
 
Mmeonywa acheni siasa fanyeni kazi hamtaki haya uaneni mpaka muishe
 
Mbona watu wamekuwa kama wanyama pori WA Serengeti hawana hata ufahamu WA kibinadamu? Natumaini hao wahalifu watashughulikiwa na sheria r.i.p kamanda
mbona Tanzania imebadilika hivi??ndiyo Tanzania ile nayoifahamu mimi kisiwa cha amani na kuvumiliana au Ni nchi mpya hii ?? Uwiiiiiiii mpaka machozi yananitoka. Justice should prevail.

Ndugu hata hao wanyama saa nyingine wana huruma, tofauti za kisiasa ndo mukatishe uhai wa nguvu kazi ya taifa? Ni jukumu la kila Mtanzania kukemea uhasama wa namna hii, kama Watanzania tumefikia kiwango hiki basi taifa hili linapotea.
 
R. I. P Hii hali ni mbaya sana hata kama tunatofautiana itikadi lakini uhai wa mtu hauwezi kulinganishwa na kitu chochote. Imeniuma sana tumepambana pamoja chuoni.
 
Hamjishughulishi na kueleza chanzo cha tukio, mazingira ya hilo tukio, mnachoona ni sahihi kwenu ni kusema "wanaosadikiwa kuwa vijana wa ccm"

Unaandika utumbo acha kuleta ujinga kwenye uhalisia. Waliokuwepo wanakueleza ww unapingana.
 
Chadema imekua simple sana tunataka vitendo maneno yanachosha au kina Mbowe mnadhani nyie ndo mpo salama tunataka vitendo
 
Hivi ingekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita ndio kauwawa na Red Brigade kwa mapanga na nyundo hali ingekuwaje huko? IGP si angepeleka vikosi vyote vya FF kanda ya ziwa eneo la tukio?

haa haa jeshi zima lingeamia huko...
 
Mbele yake nyuma yetu.

Kwa kweli inasikitisha sana.

Wafiwa poleni sana kwenye wakati huu mgumu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom