Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenifanya niwe na morali ya kushika mtutu. Kama angekua ndugu yangu ningelipaNamlaumu sana Lowassa kwa udhaifu wa kuwanyamazia CCM. Haya yote yanafanywa kwa kuendelea kuwa kimya. Nimeongea na rafiki yangu akiwa Katoro inasikitisha sana. Wamemuua mchana kama wanaua mwizi (gari mbili zikiwa na hao watu). Tapata wapi silaha jamani!!!?
Uchochezi tu. Una uhakika ni vijana wa Green Guard? Taarifa kama hizi ni za kuleta ukiwa na uhakika na mambo ya inasemekana moja kwa moja inaonekana kama unachochea moto. Marehemu apumzike kwa amani na wote waliohusika na kifo chake sheria ichukue mkondo wake!
R.I.P kamanda. Sheria ichukue mkondo wake kwa wahusika. Hili la mauaji linapaswa kukemewa. Kama ni huyo kamanda ndo alikiwa chanzo, ukweli ubainishwe
RIP kamanda mawazo
Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.
Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.
aiseee......let me cry for mawazo..ilikuwa asbh saa 5 akavamiwa na vijana wa ccm green guard wakati anajiaandaa kufanya kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mji mdogo wa katoro,na waliomuua wanajulikana na hakuna aliyekamatwa....ccm hacheni masihala mnaleta maafa
Ndiye yule alimkodishiaga vijana Zitto wamzomee Katoro halafu akakimbilia kuanzisha uzi JF?