Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
#MnafkiNo..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko. RIP Mawazo
Nasubiri kukuona ukikemea hili huku ukisistiza #Hapakazitu
#RIPKamandaSavimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#MnafkiNo..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko. RIP Mawazo
Kova...kabla ya mazishi ya kamanda Mawozo waliomuua wawe wamekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
Amepigana sana kuhitaji ubunge.
Sitaki kuamini kama kifo chakeni cha kisiasa.
Ilikuwa asbh saa 5 akavamiwa na vijana wa CCM green guard wakati anajiaandaa kufanya kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mji mdogo wa Katoro,na waliomuua wanajulikana na hakuna aliyekamatwa....ccm hacheni masihala mnaleta maafa
RIP Kamanda Mawazo!. Mungu atakulipia kupitia Karma!.
Pasco
Najua Polic-ccm watawakamata wasiohusika au wafuasi Wa Chadema hiyo ndiyo Nchi yetu.
Mkuu ndo hivyo, na wahusika kama walifanya kwa maslahi ya ccm kama inavyo sadikika, kuna chance kubwa hata kesi haitofunguliwaNo..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko. RIP Mawazo
Hatuwezi kusema pole yakaishia hapo! Ni lazima tuelewe kuwa kutokana na siasa za kihuni za wana CCM maisha ya binadamu yamegharamika!
Tutachukua hatua kali ili siku wakiwaona wengine wapate mbali! Ni lazima waujutie uhuni wao huo!
Tutawakomesha kwa uchu na njaa kali!!!
nawaonea sana huruma wanabadiliko walioko kanda ya ziwa. poleni sana. ....ccm wako juu ya sheria....