TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Hii ni hatari sasa! Hii haikubaliki kabisa wahusika wachukuliwe hatua...hizi siasa za kuuwana hazikubaliki kabisa...! R.I.P Mawazo....
 
Kwamba bila procation yeyote wakamvamia na kumuua?
Lazima kuna jambo hapo,hao wauaji wakamatwe haraka sana
 
Ilikuwa asbh saa 5 akavamiwa na vijana wa CCM green guard wakati anajiaandaa kufanya kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mji mdogo wa Katoro,na waliomuua wanajulikana na hakuna aliyekamatwa....ccm hacheni masihala mnaleta maafa

Kama wanafahamika si muwambie waame wenyewe duniani?
 
Hata maumivu ya uchakachuaji hayajaisha, wameleta tena hili jamani mnaitakia nini tanzania ? Miaka ijayo tz amani itatoweka uvumilivu unamwisho wake, kwanini tunafanya siasa za chuki? Ndo maana hatupati maendeleo, mpaka ethiopia wanatupita kimaendeleo

r.i.p kamanda
 
Hii ni habari ya kuhuzunisha sana, lakini pia inasikitisha
 
Mungu amlaze mahali pema!!!vyombo vya sheria vifanye kazi yake kujua chanzo cha hiki kifo!
 
Mimi nilijua haya! Kumchagua mtu kuwa rais wkt anakiri kuwa yeye sio mwanasiasa bali ni mtendaji unategemea nn? Uongozi wake lazima utakuwa wa kimafia
 
Hatuwezi kusema pole yakaishia hapo! Ni lazima tuelewe kuwa kutokana na siasa za kihuni za wana CCM maisha ya binadamu yamegharamika!

Tutachukua hatua kali ili siku wakiwaona wengine wapate mbali! Ni lazima waujutie uhuni wao huo!

Tutawakomesha kwa uchu na njaa kali!!!

Mimi niko tayari bila malipo.
 
Inasikitisha. Kafia front nasi twasonga mbele. Ole wao walioendesha zoezi hili. Hukumu haiko mbali nao.
 
RIP kamanda na operation delete ccm mungu ameku delete wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom