TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
IKO WAPI AMANI INAYOABUDIWA NA VIINGOZI WA DINI?
HEBU JITOKEZENI KWA HILI la mauaji haya!
 
Ni habari njema kwenu, I hope leo mtagonga glass mkifurahia 'mungu. kusikiliza maombi yenu.

Daaaah!!! Sometime inafika mahali unasema acha iwe mbaya.
Hiki kitu kilipangwa makusudi
 
Afadhali wewe uliyeko huko. Wengine hapa mihemko tu na kujiapiza hata hawajui ukweli wenyewe. Inasemekana, inasemekana, inasemekana... na watu wanafyatuka utafikiri wanajua ukweli kamili wa tukio.. CCM wajinga waue mchana kweupe? Huyo atakuwa ni visasi au Kala hela za watu. Tusubiri ukweli utajulikana tu!

Mhaini uso na utu wewe umelewa uGAMBA mpaka utu umeuweka pembeni
Muogope hata mungu
 
Kuna kila dalili za sisa za CCM kuleta shida ndani ya nchi.Wana sasa za kugombnisha na kutenganisha Watanzania halafu kwenye majukwaa wanahubiri amani.Tunaona ambavyo wamehubiri kuhusu kuwatenga wa Kaskazini na sasa wamejenga kanda ya Ziwa.

Divide n' Rule hata wao hawatakuwa salama
 
Mkuu punguza mihemko na jazba utanielewa. Ata mie nimeskitika kumpoteza kamanda, ila logic yangu ilikuwa ni lazima tukubali matokeo ya tunachokihubiri. Hivi ukiwa unasema lazima damu imwagike? Watanzania tuache ujinga tupambane? Unakuwa unategemea nani damu yake ndio aina thamani ianze kumwagika?

Ulishawai kuskia Zitto kasweka ndani kwa kuhatarisha amani? Ushawai ona mnyika anapambana na polisi au wahuni mitaani? Ebu niambie awa watu kuna anaewafikia bungeni kwa sasa kwa uwezo wao wa kuwasilisha hoja? Tuache siasa za chuki, tukizipenda tukubali gharama zake.

Siamini kama huyu marehemu aliuawa kwa kuvamiwa tu na watu kisha wakamuua. Kuna mlolongo uliopelekea kutokea vurugu zilizopelekea kifo chake na chanzo lazima kipo.

Yote kwa yote Mungu amrehemu.

Kwa hiyo ndiyo maana umeamua kuimwaga ya Kamanda wetu?
 
Hatari sana hii. Taarifa mbaya na ya kushtua sana hii. Pumzika kwa Amani kamanda Alfonce Mawazo
 
Hawa ccm ndio wanatuletea mikosi mpaka leo algeria wamesawazsha magoli. Hii nchi sijui tutaendelea lini mana kila sehemu ni mikosi tu.
 
CCM walicho kifanya kina sikitisha sana. ...hata halivyo vamiwa wakina Highness Kiwia Jesh la Polis halikuchukuwa hatuwa yoyote
 
Tunamtakia nini wakati tumesha shinda uchaguzi, eti ccm wamehusika, wewe una akili timamu kweli?Nyie kama mlizulumiana mtajijua wenyewe. Njaa zenu zitawafanya mmalizane.
Mmeamua kuua tu kama mnaua kuku kwasababu mnajiamini dola ni yenu.
 
RIP kamanda mawazo kama hukuwatendea jambo baya basi naamini damu yako itakuwa juu yao na hata kama kuna baya hukumu hiyo haikuwa sahihi.hofu yangu sijui kama waliofanya hivyo watakamatwa hatukona hivyo kwa kina kiwia na machemli mh sijui
 
Vijana,Siasa za mihemko na Ukamanda.Mbowe anakula bata na Maisha yanaendelea.Mtatumika sana mpaka pale mtakapojitambua
 
Afadhali wewe uliyeko huko. Wengine hapa mihemko tu na kujiapiza hata hawajui ukweli wenyewe. Inasemekana, inasemekana, inasemekana... na watu wanafyatuka utafikiri wanajua ukweli kamili wa tukio.. CCM wajinga waue mchana kweupe? Huyo atakuwa ni visasi au Kala hela za watu. Tusubiri ukweli utajulikana tu!

Wewe unayejua si utueleze.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom