KING MAZENGO
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 755
- 200
IKO WAPI AMANI INAYOABUDIWA NA VIINGOZI WA DINI?
HEBU JITOKEZENI KWA HILI la mauaji haya!
HEBU JITOKEZENI KWA HILI la mauaji haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni habari njema kwenu, I hope leo mtagonga glass mkifurahia 'mungu. kusikiliza maombi yenu.
Kwa hiyo unatetea watu wawe juu ya sheria sio
Afadhali wewe uliyeko huko. Wengine hapa mihemko tu na kujiapiza hata hawajui ukweli wenyewe. Inasemekana, inasemekana, inasemekana... na watu wanafyatuka utafikiri wanajua ukweli kamili wa tukio.. CCM wajinga waue mchana kweupe? Huyo atakuwa ni visasi au Kala hela za watu. Tusubiri ukweli utajulikana tu!
Mkuu hujakosea hii Meseji?Hii ni hatari sasa! Hii haikubaliki kabisa wahusika wachukuliwe hatua...hizi siasa za kuuwana hazikubaliki kabisa...! R.I.P Mawazo....
Kuna kila dalili za sisa za CCM kuleta shida ndani ya nchi.Wana sasa za kugombnisha na kutenganisha Watanzania halafu kwenye majukwaa wanahubiri amani.Tunaona ambavyo wamehubiri kuhusu kuwatenga wa Kaskazini na sasa wamejenga kanda ya Ziwa.
Hakuna aliye juu ya sheria.
Hao wahuni wakamatwe na wachukuliwe hatua.
Mkuu punguza mihemko na jazba utanielewa. Ata mie nimeskitika kumpoteza kamanda, ila logic yangu ilikuwa ni lazima tukubali matokeo ya tunachokihubiri. Hivi ukiwa unasema lazima damu imwagike? Watanzania tuache ujinga tupambane? Unakuwa unategemea nani damu yake ndio aina thamani ianze kumwagika?
Ulishawai kuskia Zitto kasweka ndani kwa kuhatarisha amani? Ushawai ona mnyika anapambana na polisi au wahuni mitaani? Ebu niambie awa watu kuna anaewafikia bungeni kwa sasa kwa uwezo wao wa kuwasilisha hoja? Tuache siasa za chuki, tukizipenda tukubali gharama zake.
Siamini kama huyu marehemu aliuawa kwa kuvamiwa tu na watu kisha wakamuua. Kuna mlolongo uliopelekea kutokea vurugu zilizopelekea kifo chake na chanzo lazima kipo.
Yote kwa yote Mungu amrehemu.
Alikuwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea udiwani katoro, ndipo walipotokea vijana wa ccm wakawazidi nguvu red bregedia na kumpiga kamanda huyu mawazo
Mmeamua kuua tu kama mnaua kuku kwasababu mnajiamini dola ni yenu.Tunamtakia nini wakati tumesha shinda uchaguzi, eti ccm wamehusika, wewe una akili timamu kweli?Nyie kama mlizulumiana mtajijua wenyewe. Njaa zenu zitawafanya mmalizane.
Afadhali wewe uliyeko huko. Wengine hapa mihemko tu na kujiapiza hata hawajui ukweli wenyewe. Inasemekana, inasemekana, inasemekana... na watu wanafyatuka utafikiri wanajua ukweli kamili wa tukio.. CCM wajinga waue mchana kweupe? Huyo atakuwa ni visasi au Kala hela za watu. Tusubiri ukweli utajulikana tu!