TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Ifike mahali tuwe wazalendo ...kwanini kupoteza damu hizi changa? ...tunapandikiza nini kwa wananchi? Kifo cha Mawazo kimenigusa mno ....
 
Pumzika kwa amani kamanda A. Mawazo. Harakati ulizozianzisha hazitakoma.
 
Me niko katoro ambapo linatokea tukio likuwa mbali kidogo lkn ripoti kamili kamanda mawazo alikuwa anakikao na wachama wake kuhusu mawakala wa kusimamia uchaguzi hapo kesho wa diwani kata ya ludete wakiwa ukumbini gari 1 ilikuja na akatoka mtu mmoja na akaanza kuchukua video bila ya idhini yao dipo vurugu zilianza ikasemekana mtu huyu ametumwa na ccm kupeleleza wachokiongelea
Afadhali wewe uliyeko huko. Wengine hapa mihemko tu na kujiapiza hata hawajui ukweli wenyewe. Inasemekana, inasemekana, inasemekana... na watu wanafyatuka utafikiri wanajua ukweli kamili wa tukio.. CCM wajinga waue mchana kweupe? Huyo atakuwa ni visasi au Kala hela za watu. Tusubiri ukweli utajulikana tu!
 
TENA WAMEMWUA MCHANA KWEUPEE PEE....hakika MBOWE TOA NENO SIR.TUTATII...
R.I.P NIACHENI NILIE....

Unataka mbowe afanye nin?

Alishatufundisha mbinu muhim huu ndo wakati wa kutekeleza kwavitendo maana halisi ya peoples power.

Mbowe alisha maliza mnataka nin? chukuweni hatua acheni ujinga wa wakinafiki.
 
Tunataka hapo geita ...wote walihusika...wakamatwe.........hasa wale majamaa....yanayo jidai et mbelekwa mbele
 
Magufuli usifanye siasa za CCM na Chadema ....komesha huu ukatili kwa kubainisha ukweli ....amri jeshi mkuu lazima apewe taarifa sahihi ...azitumie kukomesha haya bila upendeleo ...
 
Wanaojua wanasema ni vijana wa green guard,munaoamini munasema waliokula hela wote watakufa!! Basi mutaendelea kuua hadi muwamalize wote? Kwa kuamini tu?
Pesa mbaya sana rafiki yangu. Unajua sasa hivi mamvi kachanganyikiwa. Mbowe ndiyo kachanganyikiwa balaa.
 
Wasikamate wahuni tu ....hao wametumwa ....huu ni ugaidi ...
 
CCM wanataka madaraka kwa gharama yoyote ile hata kwa damu ya watu ndio maana zenji hawakubari kuachia mpaka damu imwagike

wewe nawe unachochea ccm tayar ishachukua dora na alphonce ubunge aliukosa kwa harari bukwimba akashinda usiku wa kuamkia leo ndo kulitokea hili yeye akitoka kwa kikao cha mikakati ya uchaguz wa diwan kata mojawapo katolo ambapo uchaguz uko jumapil wakati akiwa gar ili aludi katolo ndo katekwa na magar mawili na ndo inasemwa vijana wakatokea na kumushambulia kwa mashoka na kisha kukimbizwa hospital geita ambapo hakumaliza hata dk 10 na kufariki hadi sasa hajafahamika waliomuua ni watu gan japo maneno yanasemwa ni grin gadi
 
This is so sad,all those responsible must face justice!
 
RIP kamanda mawazo

Wazungu wanasema what goes around comes around. Ukishakuwa muhubiri wa siasa za shari na mihemko uwe tayari kutafuna matunda yake. Ukiwa mhamasishaji mzuri wa "lazima damu imwagike" "patachimbika " lazima utambue damu ya kumwagika haichagui sura inaweza ikaanza na wewe.

Ushauri wangu kwa wanasiasa haswa wa chadema na cuf tuachane na siasa za mihemko kujazana jazba tufanye siasa za sera tutaeleweka tu na raia.

Kwanini usiwashauri CCM waache wizi.
 
Akamatwe nani utasikia kamanda wa polisi anadai ameuawa na watu wasiojulikana. Tumshtakie Mungu

Huu ndio udhaifu wa jeshi la polisi,jeshi linahitaji reform kubwa sana ili liwatumikie wananchi!This must end
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom