TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Acha kulia kamanda jiandae tu, huenda viongozi wetu wakatoa tamko la kudai haki.Kilio tuwaachie watoto!
Mimi kifo hiki kimenifanya niichukie AMANI, sasa nataka VITA, tangazeni tuanze mapambano! Sitaki tena AMANI, naichukia sana!
 

Utenzi mzuri kwa marehemu nina hakika alichokiazisha kitaendelezwa!
 
why lakini

why tunaonewa hivi nchini kwetu

nchi ni yetu sote hii
 
Tangulia wewe na mkeo kwanza mkalipe hiyo damu ndo tufuate na sisi. Siyo porojo tu then linapotokea la kutokea nyie ndo wa kwanza kutafutwa kwenye vungu za vitanda na vyooni. Hakuna anayependa uonevu, but lazima ujiridhishe kwanza labla ya kutuhumu... dababu inaweza kuwa visasi na mengine mengi labda usoyajua.. usikoment just kama fisi, unaparamia tu ilimradi umenusa harufu ya mzoga, harufu nyingine hazina uhalisia. Ni hayo tu.
 
Mimi naitwa JACOB URASSA, niko SOMBETINI ARUSHA, sitaki tena AMANI, wala UVUMILIVU, nataka tutandikane ile heshima, kuvumiliana kuwepo huko Mbeleni!
 
Inauma Sana.RIP kamanda. Mungu atajibu muda si mrefu. Maana yana mwisho.
 
Hali ninayoiona inahitaji siku ya kesho isiishe bila kauli ya Mhe. Dr. Magufuli kwakuwa yeye ndo Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya ndani, waziri wa sheria na katiba nk. Akikaa kimya kesho upo uwezekano wa kuja kutoa kauli hali ikiwa mbaya.
 
Tulisema haya makundi ya redbrigade itakuwaje wakizidiwa nguvu hamkuelewa, serikali ikinunua vitendea kazi munaponda, ifike sehemu tuseme siasa basi.
 

Wameshazoea. Viongoz wakilifumbia macho makanda watamalizwa.
 

Take with you as many as you can and God bless you.Unawaza kifanya kitendo cha kurudisha utu wetu, Mungu akutangulie!
 
Imeniharibia kabisa siku yangu hii habari,hivi ni kwa nini umuue mwenzio kisa siasa?nimeumia sana kwa kweli
R.I.P bratha
 
Hali ninayoiona inahitaji siku ya kesho isiishe bila kauli ya Mhe. Dr. Magufuli kwakuwa yeye ndo Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya ndani, waziri wa sheria na katiba nk. Akikaa kimya kesho upo uwezekano wa kuja kutoa kauli hali ikiwa mbaya.
Huna huo ubavu, mtendaji wa kijiji atalitolea ufafanuzi.
 
Huu upumbavu hauvumiliki hata tone! Bora kufa kuliko kushuhudia upuuzi wa dizaini hii TANZANIA!

Sioni thamani ya maisha Tanzania!
 
Imeniuma sana. Kisa siasa. No way. Hao waliomuua wataishi milele? RIP KAMAMDA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…