Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.
Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali
Toka zako. Laana haiwezi kunipata kwa sababu nyie mahayawani wa chadema akili zenu zimepinda. Inakuwaje tukio linatokea bila hata ushahidi unaanza kutuhumu??? Mimi nimesikitka na huo unyama lakini siwezi kuwatupia lawama kundi fulani bila ushahidi.
Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamuna
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.
Hili jitu linastahili kufa kibudu!. Kabla halijafa, lipewe maiti za wanauawa na ccm lilazimishwe kula kisha lizikwe likiwa hai. Lipumbavu sana hili guruwe pori lijiitalo wakatiwote. Lazima life hili.
Mkuu kabla atujawahukumu green guard, inabidi tuwaulize
Mbowe nani alimuuwa chacha wangweT
Lowassa nani alimuuwa Mtikila?
uLowassa nani alimumwagia tindikali kubenea?
Mbowe nani alitishia kumuuwa Dr Slaa wakati wa kampeni?
Hapo tunaweza kupata pa kuanzia.[/QUOTE
Woooote hao waliuawa na Magamba na vibaraka wao. Ongezea Mwangosi, Ally Zona, Yule mliyemchinja kwa Chain Saw, Mvungi, Kolimba the list is so long....
Sio Redbrigade bali ni Greeeeeeeeen Gurd wale wanaoshirikiana na PoliccmKama kweli ni vijana wa RED BRIGADE wa CDM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baadaye kufariki, ili tu kuleta mtafaruku wa Tunisia, baada ya kushindwa kunako box la kura, basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
​USIONDOE UWEZEKANO WA CHADEMA KUHUSIKA NA KIFO HICHI KWA SABABU ZA KISIASA!
Ndugu wanaccm wengi wao wanajifanya Miungu watu kwani wanatishia watu kwa kila jambo hata huku kijijini ole wako uwe upinzani, utaandamwa hadi usalimu amri.Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamuna
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.
Tatizo lako hujui hats kinachoendelea unapumua hewa chafu tuu
Kamanda ndiye aliyejengs CDM kwa kiwango kikubwa Arusha, Geits na Kanda ya ziwa halafu CDM hiyohiyo imdhuru
Akili za kitchen party ziishie kwenye kusasambua
hivi wewe ulizaliwa kwenye mduku wa mama yako akala uhalo wake?sababu sio akili ya binadamu wa kawaida uwenda hiyo akili imechanganyika na Mav ya mama yako.Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.