Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.