TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.

Hili jitu linastahili kufa kibudu!. Kabla halijafa, lipewe maiti za wanauawa na ccm lilazimishwe kula kisha lizikwe likiwa hai. Lipumbavu sana hili guruwe pori lijiitalo wakatiwote. Lazima life hili.
 
Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.

Kama kweli ni vijana wa RED BRIGADE wa CDM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baadaye kufariki, ili tu kuleta mtafaruku wa Tunisia, baada ya kushindwa kunako box la kura, basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
​USIONDOE UWEZEKANO WA CHADEMA KUHUSIKA NA KIFO HICHI KWA SABABU ZA KISIASA!
 
natoa wito kwa wanageita na watanzania wote walioguswa na kifo hiki wauaji wasakwe popote walipo mchana na usiku. wakipatikana jino kwa jino over.
 
Ametaja aliokumbuka.
Ageweza kumtaja Sokoine,Kambona,Dr.Mgimwa na kadhalika.
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali
 
Utawezaje kujitupia lawama mwenyewe?
Ebu toa ukenge wako hapa. Unataka ushahidi wakati hujui hata aina za ushahidi!
Toka zako. Laana haiwezi kunipata kwa sababu nyie mahayawani wa chadema akili zenu zimepinda. Inakuwaje tukio linatokea bila hata ushahidi unaanza kutuhumu??? Mimi nimesikitka na huo unyama lakini siwezi kuwatupia lawama kundi fulani bila ushahidi.
 
Majitu ya chadema sijui yakoje?yameuana yenyewe huko yanasingzia ccm,huyo marehemu alikua ni kama sisimizi kwa ccm,tumuue wa kazi gani asa?
 
Hizi siasa za chuki hadi lini? Chadema sio siri mmepoteza dira. Yaani kila kitu mnaitupia lawama ccm na serikali yake. Mnaboa sana. Tuachieni mama Tanzania yetu nzuri. Kwa kuhukumu tu mpo vizuri. Wenye akili tunawasoma na mwisho wenu umekaribia. Mmesema sana ufisadi lakini sasa mnaukumbatia. Hamuwezi kuupinga sasa kama zamani. Time will tell.
 
Tutasubir sana kusubir hukumu ya Mungu!bila shaka umenielewa,chukua hatua.
 
Nilitegemea GG watakuwa busy wanasheherekea ushindi...Tafadhali mletamada nielezee motive ya GG kufanya huu unyama/mauaji ni nini?
 
Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamuna

Hujui tukio lilivyokua. Kaa. Kimya
 
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.

Kosa lake ni nini,,ameshauri mtoe nafasi kwa vyombo vya usalama kufanya kazi na si kuanza kunyoshea watu vidole..
 
Hili jitu linastahili kufa kibudu!. Kabla halijafa, lipewe maiti za wanauawa na ccm lilazimishwe kula kisha lizikwe likiwa hai. Lipumbavu sana hili guruwe pori lijiitalo wakatiwote. Lazima life hili.

Mmmmhhh, mkuu umefika mbali sana. Ila msg sent and delivered.
 
Mkuu kabla atujawahukumu green guard, inabidi tuwaulize

Mbowe nani alimuuwa chacha wangweT

Lowassa nani alimuuwa Mtikila?

uLowassa nani alimumwagia tindikali kubenea?

Mbowe nani alitishia kumuuwa Dr Slaa wakati wa kampeni?

Hapo tunaweza kupata pa kuanzia.[/QUOTE

Woooote hao waliuawa na Magamba na vibaraka wao. Ongezea Mwangosi, Ally Zona, Yule mliyemchinja kwa Chain Saw, Mvungi, Kolimba the list is so long....
 
Kama kweli ni vijana wa RED BRIGADE wa CDM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baadaye kufariki, ili tu kuleta mtafaruku wa Tunisia, baada ya kushindwa kunako box la kura, basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
​USIONDOE UWEZEKANO WA CHADEMA KUHUSIKA NA KIFO HICHI KWA SABABU ZA KISIASA!
Sio Redbrigade bali ni Greeeeeeeeen Gurd wale wanaoshirikiana na Policcm
 
Hivi watu humu mna dini? Mliona wapi Mungu anapangiwa kazi za kulipiza visasi!? Kama mnataka kulipiza visasi dhidi ya hao mnao wahisi wamefanya hilo tukio basi hukumu hiyo iwe mikononi mwenu na wala msimuhuhusihe Mungu na hatua mtakazo zichukua au zitakazo chukuliwa kwa waliotenda huo ukatili.

Tumuogope Mungu na jina lake lisitajwe kimzaha mzaha.
 
Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamuna
Ndugu wanaccm wengi wao wanajifanya Miungu watu kwani wanatishia watu kwa kila jambo hata huku kijijini ole wako uwe upinzani, utaandamwa hadi usalimu amri.
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.

Tatizo lako hujui hats kinachoendelea unapumua hewa chafu tuu
Kamanda ndiye aliyejengs CDM kwa kiwango kikubwa Arusha, Geits na Kanda ya ziwa halafu CDM hiyohiyo imdhuru
Akili za kitchen party ziishie kwenye kusasambua
 
Huna elimu ya criminology na wala hujui nini maana ya motives behind murders. Hivyo mambo usiyoyajua ni bora ukayaacha kama yalivyo.

Unashangaa CHADEMA kumuua Mawazo, wakati mtoto anamuua baba yake na mama yake kwa hamu tu ya kutaka kujua atajisikiaje baada ya wazazi wake kufa. Au kitaalamu tunasema mtu anataka ku-convert his/her fantansies to reality. Kitaalamu tunasema 'unusual suspects'....Yani watu ambao huwezi kabisa kudhania kuwa wao ndio wauaji. Na kwa hii case ndio hao CHADEMA wenyewe. Katika jicho la wapelelezi, hata CHADEMA nao ni suspects. Tukianza ku-take sides na kufanya judgement mapema kuwa wauaji ni CCM, ita-ruin the course of investigation yote.

Kitaalamu mtu anapokufa tunasema everyone who is connected or not connected to the deceased is a suspect. Ruling no one out. Hata mimi niko Dar ni mtuhumiwa wa hicho kifo, hata wewe pia ni mtuhumiwa. Njia pekee ya kuniondoa mimi na wewe kwenye tuhuma ni baada ya upelelezi kufanyika tu. Hakuna namna nyingine.

Hivyo kwenye mambo haya ya mauaji kuna somo kubwa la kujifunza na huwezi kuamini akili ya mwanadamu hata siku moja. Baada ya kusema hayo naomba tuache vyombo vya dola vichunguze na vitoe taarifa juu ya nani kahusika na mauaji hayo.
 
Kiwia na Machemli walikatwa mapanga kwa mtindo huu huu bahati Mungu akalinda uhai wao, waliwataja watuhumiwa wao kwani waliwaona kwa macho yao, sote tunajua nani alituhumiwa, hivi kuna yeyote aliyekamatwa hata kuhojiwa na polisi hadi eo hii? Ukatili wa mtindo huu naendelea kwakuwa wauwaji wanajuwa kuwa hamna atakayewakamata wala kuwafanya lolote.

Hapa wako wanaotuhumu na wanaotetea tunazozana kijinga tu humu, ni Mungu ndiye anayejua ukweli, kama yupo tunamwomba atende haki kwa wote waliohusika.Haya mambo ya kuchinjana kama kuku yakiendelea kuna siku yatatufikisha kama walipofika Rwanda mwaka 1994
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.
hivi wewe ulizaliwa kwenye mduku wa mama yako akala uhalo wake?sababu sio akili ya binadamu wa kawaida uwenda hiyo akili imechanganyika na Mav ya mama yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom