TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.

...inaonekana ulisha lawiti.. ukiwa mdogo, ndo mana umeathirika kisaikolojia..
 
Kwa maelezo hayo hawo ni wafuasi wa CDM waliokuwa mkutano wa ndani na wamejeruhiwa walipotoka
Nilidhani baada ya wafuasi wa CDM kutoka waliwafuata hao wafuasi wa CCM nje ya ukumbi wa mikutano na kuanza kuwashambulia na kujeruhi hao kina elizabeth labda baadae CCM wakaja kulipa kisasi.
 
Tunamtakia nini wakati tumesha shinda uchaguzi, eti ccm wamehusika, wewe una akili timamu kweli?Nyie kama mlizulumiana mtajijua wenyewe. Njaa zenu zitawafanya mmalizane.

Laana hii .....
Mungu hajalala endelea kutoa kashfa zako
 
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali

Una matatizo ya akili wewe naona unafurahia kifo cha mawazo shetani mkubwa ww.kanda ya ziwa ndo zenu bado demokrasia maana hata machemli na mwenzake mlipiga hivihivi.
 
Wapinzani ni Wajibu wetu kujihami. Hawa watu watazidi kutucharanga mapanga na huenda wasichukuliwe hatua yoyote ya kisheria. Kiburi cha kufanya uovu kinatokana na polis na serikali kwa ujumla kulea tabia hizi za ukatili dhidi ya wapinzani. Viongozi Wakuu wa ukawa ngazi zote wanapaswa kuimarisha vikosi vya usalama Kwa ajili ya Maisha Yao. Otherwise wataumia na Hakuna atakaye chukua hatua.
 
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali

...wewe kenge unataka watu waache kuzungumzia tukio la sasa, warudi nyuma kuzungumzia tukio sijui la mwaka gani?! halafu kuna pimbi mwenzio anadai anataka kukupa like sijui 1000!!
nyie watu huu utani wenu wakipumbavu, mnastahili kubak.. tu!
 
Hivyi ni kweli Tz kunaamani...!?

Hivi ni kweli Watanzania ni wapole au wavumilivu...!?

Hivi ni kweli haya yanafumbiwa macho na kuonekana yakawaida...!?

Mbona hili taifa ninachokonolewa kila kona...!?

Yaliyotokea October tumesisitizwa kuwa watulivu huku tukiona haki inafanywa batili na batili kuwa halali.

"DHAHABU SAFI HUCHUJWA NA MOTO MKALI"

WATANZANIA TUWE WATULIVU KWANI TUNASEMA HAPO KINAFIKI KUWA TZ NI KISIWA CHA AMANI
 
Sehemu pekee niliyolia wakati naangalia movie ya Sarafina....

Preacher from Sarafina movie

"They fear you because you are the young

They fear you because you are the future.

How fear they musy be that they shoot you Children.

How powerful you must be that they fear you so much.

You are powerful because you are the generation that will be free.

The violence, that beatings, that torture, the killings; All this is the birth pain of our free nation.

Please God, may i live to see it.

But if idon' t, I see it now on your faces like the light to the rising sun, and my heart lift within me, as if l, too, was young again.

And i know, Yes, I know freedom is Coming tomorrow.

May our Children rest in piece

Ashes to ashes, dust to dust.

REST IN PIECE MAWAZO.
 
My Hero Alfonce Mawazo sitaogopa wala kurudi nyuma, sitayumba wala kukata tamaa, sitaogopa wala kushindwa nitasisima kwa miguu yangu na kuumbia Umma dhuruma, mateso, uenevu, ubaguzi, ushenzi na upumbavu wote unaofanywa na tawala za watu wa Afrika ukomeshwe. Nitakuishi Alfonce Mawazo "NINAYO MAWAZO YA UKOMBOZI"
 
Afande mkoa wa Geita:

kuna tukio la mauaji KTR/IR/1186/2015, lililotokea leo tarehe 14/11/2015 baada ya ALPHONCE S/O MAWAZO, miaka 39, msukuma, mkulima mkazi wa Geita na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita pia katika uchaguzi mkuu uliopita alikuwa mgombea ubunge jimbo la Busanda, alishambuliwa kwa silaha za jadi na watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya kumi kati yao mmoja ametambuliwa kwa jina moja la MABEGA, wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa na mkutano wao wa ndani katika mtaa wa Ludete A kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro na CCM pia walikuwa na mkutano na ndani katika ofisi ya CCM, mtaa wa Njiapanda kata ya Ludete, vyama vyote viwili vilikuwa vinaandaa na kuwaapisha mawakala wao kwa ajili ya uchaguzi wa diwani ambao utafanyika kesho tarehe 15/11/2015 katika kata ya Ludete.

Wakati mkutano wa chadema ukiendelea majira ya 12:35 hrs mwanachama mmoja wa CHADEMA alitoa taarifa kuwa nje ya ukumbi kuna watu wanaosadikiwa kuwa wanachama CCM wanarekodi mkutano wao. Baada ya taarifa hiyo wajumbe wote walitoka nje ya ukumbi wakakutana na kundi la hilo nje ya ukumbi. Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani. Wametibiwa kituo cha afya Katoro, wameruhusiwa na hali zao zinaendelea vizuri. Kutokana tukio hilo wajumbe wote wa CHADEMA walitawanyika.

Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea. Muda mfupi alionekana akipigwa katika umbali unaokadiliwa kuwa nusu kilometa kutoka ukumbi ulipokuwa unafanyika mkutano wao na watu kumi walioshuka kwenye gari aina ya Land Cruiser ambayo namba zake bado hazijafahamika. Baada ya tukio hilo gari hilo lilielekea barabara ya Geita mjini.

Majeruhi alifariki majira ya saa16:00 hrs wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya Geita.

Upelelezi wenye kuambatana na msako mkali unaemdelea kuwatafuta watuhumiwa.
 
Mnaoichukia nchi muondoke tu jamani waichukia halafu upo hapo hapo mwache unafiki.R.I.P kwa wale waliotangulia
 
My Hero Alfonce Mawazo sitaogopa wala kurudi nyuma, sitayumba wala kukata tamaa, sitaogopa wala kushindwa nitasisima kwa miguu yangu na kuumbia Umma dhuruma, mateso, uenevu, ubaguzi, ushenzi na upumbavu wote unaofanywa na tawala za watu wa Afrika ukomeshwe. Nitakuishi Alfonce Mawazo "NINAYO MAWAZO YA UKOMBOZI"

Alifanya nini la kuwa hero?
Mbona hakupata Ubunge?Acheni Porojo fanyeni kazi.
 
Kama kweli ni vijana wa RED BRIGADE wa CDM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baadaye kufariki, ili tu kuleta mtafaruku wa Tunisia, baada ya kushindwa kunako box la kura, basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
​USIONDOE UWEZEKANO WA CHADEMA KUHUSIKA NA KIFO HICHI KWA SABABU ZA KISIASA!
Afande mkoa wa Geita:

kuna tukio la mauaji KTR/IR/1186/2015, lililotokea leo tarehe 14/11/2015 baada ya ALPHONCE S/O MAWAZO, miaka 39, msukuma, mkulima mkazi wa Geita na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita pia katika uchaguzi mkuu uliopita alikuwa mgombea ubunge jimbo la Busanda, alishambuliwa kwa silaha za jadi na watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya kumi kati yao mmoja ametambuliwa kwa jina moja la MABEGA, wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa na mkutano wao wa ndani katika mtaa wa Ludete A kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro na CCM pia walikuwa na mkutano na ndani katika ofisi ya CCM, mtaa wa Njiapanda kata ya Ludete, vyama vyote viwili vilikuwa vinaandaa na kuwaapisha mawakala wao kwa ajili ya uchaguzi wa diwani ambao utafanyika kesho tarehe 15/11/2015 katika kata ya Ludete.

Wakati mkutano wa chadema ukiendelea majira ya 12:35 hrs mwanachama mmoja wa CHADEMA alitoa taarifa kuwa nje ya ukumbi kuna watu wanaosadikiwa kuwa wanachama CCM wanarekodi mkutano wao. Baada ya taarifa hiyo wajumbe wote walitoka nje ya ukumbi wakakutana na kundi la hilo nje ya ukumbi. Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani. Wametibiwa kituo cha afya Katoro, wameruhusiwa na hali zao zinaendelea vizuri. Kutokana tukio hilo wajumbe wote wa CHADEMA walitawanyika.

Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea. Muda mfupi alionekana akipigwa katika umbali unaokadiliwa kuwa nusu kilometa kutoka ukumbi ulipokuwa unafanyika mkutano wao na watu kumi walioshuka kwenye gari aina ya Land Cruiser ambayo namba zake bado hazijafahamika. Baada ya tukio hilo gari hilo lilielekea barabara ya Geita mjini.

Majeruhi alifariki majira ya saa16:00 hrs wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya Geita.

Upelelezi wenye kuambatana na msako mkali unaemdelea kuwatafuta watuhumiwa.
 
Hivi watu humu mna dini? Mliona wapi Mungu anapangiwa kazi za kulipiza visasi!? Kama mnataka kulipiza visasi dhidi ya hao mnao wahisi wamefanya hilo tukio basi hukumu hiyo iwe mikononi mwenu na wala msimuhuhusihe Mungu na hatua mtakazo zichukua au zitakazo chukuliwa kwa waliotenda huo ukatili.

Tumuogope Mungu na jina lake lisitajwe kimzaha mzaha.

Tena yeye ktkt vitabu vitakatifu anasema kisasi ni juu yangu niachieni nitalipa.
 
Mbona kamanda Chacha Wangwe hakuzikwa kitaifa na chama wakati alikuwa makamu mwenyekiti wa chama. Mpaka leo hata familia yake mmeitelekeza bila msaada wowote. Acheni uhuni huu.
Ajali ya gari unaifananisha na mauaji ya mapanga na mashoka?
Je unaweza kuthibitisha madai yako? acha uchochezi ns uwe na moyo wa kibinadamu
 
Nimemlilia kamanda kwa machozi lakini nimekumbuka kuwa GIZA LIKIZIDI KARIBIA KUNAKUCHA.ni vema viongozi wa chama watoe tamko kama noma na iwe noma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom