TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
UPUMBAVU wako umezidi kipimo, inaoneka uwezo wako wa kufikiri umezimwa? Labda uliwahi kulawitiwa!

wenye michezo ya kutoa ndogo umu jf wapo wengisana ukisoma post zao tu unagunguwa kwamba ni vbaskeli wasamee bule ndugu!!!
 
Ni ndugu Alphonce Mawazo.

Katika andiko lake la hivi karibuni alisema tarehe sita mwezi ujao atabatizwa ktk kanisa la ufufuo wa Imani na kuacha majina yake ya sasa na kuitwa "Jonas Savimbi" mpigania haki za wanyonge.

Hakika Umekuwa kielelezo cha Haki na Usawa.Mungu akupokee.
 
Atabaki kwenye kumbukumbu kwa mda mrefu saana
 
Sauti yake na fikra zake zitaendelea kuishi miongoni mwa wana geita
 

yani wea ni fyatu kama jina lako yani kwenye mambo muhimu unatuletea habari za kanumba?!
 
Ni ndugu Alphonce Mawazo.

Katika andiko lake la hivi karibuni alisema tarehe sita mwezi ujao atabatizwa ktk kanisa la ufufuo wa Imani na kuacha majina yake ya sasa na kuitwa "Jonas Savimbi" mpigania haki za wanyonge.

Hakika Umekuwa kielelezo cha Haki na Usawa.Mungu akupokee.
 
Baada ya kifo cha Savimbi Angola ilitulia mpaka leo sasa sielewi unataka kutuma ujumbe gani.
 

itakusaidia nini? Hata wewe umeweka jina bandia humu
 
Last edited by a moderator:
Wow. Savimbi alikuwa mpigania haki za wanyonge? What is known ni kwamba alipouawa Angola ilitulia mpaka leo...

Anyway, binadamu tuna 6th sense inayotuwezesha kuhisi yajayo. Haiwezekani ayaseme haya halafu afe kifo kile kile kinachofanana fanana na cha Savimbi.

Malisa G. ameandika FB kuwa wahusika wakuu wote wa mauaji haya wameshakamatwa tayari. Hili ni jambo jema na sheria ichukue mkondo wake kwani hili suala ni above politics. Nobody deserves to be killed like an animal na kuachwa kando ya barabara akivuja damu bila msaada wo wote. Kama binadamu imeniuma sana!
 
yani wea ni fyatu kama jina lako yani kwenye mambo muhimu unatuletea habari za kanumba?!

Na hapo ndio huwa mnakosea, kudhani kuwa wanaopaswa kuwa na mihemuko na hari ya uvunjifu amani ni wanasiasa na wafuasi wao tu.

Marehemu Kanumba alikuwa na wafuasi wengi, tena aliowapata kwa jina lake mwenyewe wala sio chama....kifo chake kiliwagusa wengi....au ukiwa mwanasiasa unakuwa daraja lingine la utu?

Nimetoa mfano hai kabisa na nipo sahihi ndugu.
 
Mungu atakua pamoja na si wauaji wakamatwe lambda kwakua wako kivuli Cha watawala ccm inavyodaiwa .kama kweli mtatumaliza.mtawale nyasi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…