Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inasemekana ile gari ilikuwa ya msukuma na ndiye aliyesimamia yale mauwaj
'Forever an optimist'. I like that attitude mkuu Joka Kuu!kwa kweli inasikitisha.
..siongezi neno, sikiliza video clip hapa chini.
Na haya ndiyo yatakayofanya mambo yaendelee kuwa magumu.Mkuu unauliza jibu...tunachoweza kusema tu Ni kuwa HUWEZI KUMWAGA DAMU YA BINADAMU KIKATILI VILE IKAKUACHA SALAMA NI SUALA LA MUDA TU,WALE WATESI WATAILIPA!
'Forever an optimist'. I like that attitude mkuu Joka Kuu!
Inamaana ni wajibu wetu kupiga kelele kwa herufi kubwa ili polisi, wananchi na ndugu wa Marehemu Alphonce Mawazo wajue.inasemekana ile gari ilikuwa ya msukuma na ndiye aliyesimamia yale mauwaj
Inamaana ni wajibu wetu kupiga kelele kwa herufi kubwa ili polisi, wananchi na ndugu wa Marehemu Alphonce Mawazo wajue.
Kuwa Mbunge wa Geita MSUKUMA KASHEKU anahusika na kupanga na kutekeleza MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi si shabiki wa chadema wala ccm ila hiki kilichotokea kwa Mawazo ni aibu kubwa sana.Ccm iko siku na saa lazima damu muilipe...tatizo muda tu...View attachment 1393637
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utafika kinga hiyo ita expire na nadhani bado Mbunge Msukuma atakuwa hata kuzeeka bado hajazeeka. Hapo ndio yeye naye atakaposhuhudia mke wake na watoto wakimlilia.Mbunge msukuma ana kinga ya usukuma, anaweza kufanya lolote bila kuguswa.