TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Damu huwa inanena na huenda kizazi hata kizazi tusubirie kuona aibu za watu kwenye dunia hii hata kabla hatujatwaliwa
 
Mkuu unauliza jibu...tunachoweza kusema tu Ni kuwa HUWEZI KUMWAGA DAMU YA BINADAMU KIKATILI VILE IKAKUACHA SALAMA NI SUALA LA MUDA TU,WALE WATESI WATAILIPA!
Na haya ndiyo yatakayofanya mambo yaendelee kuwa magumu.
 
Inamaana ni wajibu wetu kupiga kelele kwa herufi kubwa ili polisi, wananchi na ndugu wa Marehemu Alphonce Mawazo wajue.
Kuwa Mbunge wa Geita MSUKUMA KASHEKU anahusika na kupanga na kutekeleza MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbunge msukuma ana kinga ya usukuma, anaweza kufanya lolote bila kuguswa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom