TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Damu huwa inanena na huenda kizazi hata kizazi tusubirie kuona aibu za watu kwenye dunia hii hata kabla hatujatwaliwa
 
Mkuu unauliza jibu...tunachoweza kusema tu Ni kuwa HUWEZI KUMWAGA DAMU YA BINADAMU KIKATILI VILE IKAKUACHA SALAMA NI SUALA LA MUDA TU,WALE WATESI WATAILIPA!
Na haya ndiyo yatakayofanya mambo yaendelee kuwa magumu.
 

Mbunge msukuma ana kinga ya usukuma, anaweza kufanya lolote bila kuguswa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…