TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Huu ni ukatili wa hali ya juu sana, tuzidi kuomba kwa Mungu pawepo na maridhiano ya amani, bcz verified detail, aliyepo juu ni Mtu wa Visasi na amepromis kupoteza wengi, so huu ni utangulizi tu, picha yenyewe bado.
 
Kwa msaada wa wananchi watuhumiwa 3 walikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa mapoliccm cha ajabu ndani ya nusu saa wakaachiwa huru na kutokomea........!

Kama walikamatwa ina maana wananchi wanawafahamu tayari, guess what ..
 
Imeniuma Sana, tulipambana pamoja arusha, akaenda nyumbani Kanda ya ziwa, amefanya kazi kubwa Sana kuwa amsha wananchi, naamini ni harakati zake ndo zimechukua uhai wake, sintakusahau kaka nakuja kukuzika Kwa amani, RIP my brother, japo nimekatishwa tamaa.
 
Tunataka ukweli kuhusu kifo cha kamanda na tunautaka kweli.
 
No..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko. RIP Mawazo

Uzuri ni kuwa mauaji haya tofauti na mengine wauaji hawawezi kujificha, especially km tukio limetokea mchaba km ilivyoelezwa. Thanks to snart phone technology.

Lets wait we will see.

Kumbuka:
Ukiunga mkono udhalimu leo, kwa kuwa matokeo ya udhalimu yana kufurahisha, usitoe machozi siku watoto wa wadhalimu watakapoanza kujitendea watakavyo
 
Hapo ndipo ninaamini CCM wanafanya siasa za kufanya malipizi.
 
Nawasihi nikiwa kama mwananchi wa Tanzania.

Yaani ccm wanawaona upinzani kama sio watanzania. Swali gn hilo sasa anakuuliza. Mnajifanyia tu mambo ya hovyo kwa vile hamna wa kuwauliza.wala hamfanywi chchte sio?
 
conspiracy theory .Wahusika sio. ccm wala green guard wanasingizia green guard tu ili kuchonganisha wanachi walioanza kusahau uchaguzi no wonder kesho lowassa atakua wa kwanza kuliongelea hili swala....
 
Kuna siri nzito hapo imejificha nyuma ya hayo mauaji....kama kweli dunia haina siri basi siku moja yatafunuka lakini wala hayahusiani na siasa hata chembe,duniani tunatakiwa kuishi na watu vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom