TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Kwa mtindo huu siasa inelekea pabaya sasa wap tunaenda sisi wote ndugu hilo jambo alakukemea na wausika sheria ichukue mkondo wake bila kujali chama huyo mtanzania
 
Ndugu yangu,kukaa kimya ni busara kubwa kuliko zote hapa duniani.
Unaandika ukiwa mafichoni sasa hivi ukidhani hakuna anaekujua ,lakini kaa ukijua dunia haina siri......hakuna aijuae kesho
Watu wana huzuni,majonzi na hasira,wamechoka na hubiri la amani lisilo na haki...machozi yao kamwe hayataenda bure
Mungu akutangulie uone mapungufu yako na uyatubu kabla jua la kesho halijachomoza

Ndugu, hakuna popote nilipohalalisha uonevu. Napinga upotoshaji. Hilo tu.
 
Rip ,
mh rais magufuli we ni mcha Mungu hakikisha haki inapatikana, tunakutazama, chukua kwanza hatua za makusudi kuonyesha kuwa hukubaliani na mauaji haya

Kwa Geita jamaa alikua na ushawishi kuliko Magu

Jaribu kuwaza tofauti tuu
 
Mnahororoja tu mna uhakika gani kama kauawa na ccm,mawazo hakua tishio ccm alishashindwa ubunge na chama chake kiliangushwa vibaya geita.hiyo ni jinai ya kawaida tu hakuna siasa hapo,kuna mambo mengi ya kuangalia,kama alidhulumu,alikula mke wa mtu n.k sio kila kitu mnalaumu ccm
 
angekufa kiongozi wa ssm within 2hrs vijana wengi wangekua wameshatiwa nguvuni
 
Hii inatia doa serikali ya awamu ya Tano.Mwenyekiti wa mkoa wa chama cha upinzaini kuuliwa namna hiyo,inauma sana.Eeeeeeh Mola Baba Muumba Mbingu na nchi Tuokoe waja wako,Mungu BABA tulipie kisasi Waja wako.Hamna aliye Mkuu kama wewe Jehova,Mungu wa Majeshi.Aminaaaaaaa.Wabunge wa UKAWA wagomee tu hotuba ya ufunguzi kwa mauaji haya ya Kiongozi wao aliyofanyiwa,hamna haja ya kuwa rafiki na hawa watu,wanamsiba na majonzi.Hii ni ishara mbaya kabisa.
 
Watanzania mwenzangu hii ni taarifa ya huzuni sana kwetu wote.

Ndg:Alfonce Mawazo ameuawa Kwa kupigwa Mapanga na watu wasiojulikana alipokuwa Katoro ktk harakati za kuratibu na kampeni za udiwani Katoro jimbo la Busanda-Geita.

Kifo chake kimethibitishwa ktk Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya Juhudi za Kuokoa Maisha yake ilishindikana.

Marehemu pia alikuwa mgombea Ubunge ktk uchaguzi iliyopita akiwakilisha Chadema na UKAWA Kwa ujumla.

Kitendo hiki cha kinyama na cha kishenzi kimetuuzi sana Kwa kweli
Mkuu hata wawe kwenye issue kama hizi, haupo salama kama wee si mwana ccm
 
Sitakata tamaa,sitaogopa,sitarudi nyuma.R I P.Mawazo,hata mimi niko mbioni kukufuata kwa sababu tu ya kuwatetea watz.
 
Huyu dada analeta siasa kwenye ishu za hatari, anaandika tu eti chadema na yatakukuta weww dada juu yangu hapo, labda uombe msamaha kwa mwenyezi mungu
 
Kuna haja ya kuwa na upinzani nchini mwetu kweli?? Hatuna haki, maisha yetu yapo hatarini mda wote. Mi nahisi tuwe u pande moja tu wote
 
Ooh Jesus :
Na hili ndio neno la
Mwanzo 4:10-12 (SUV) Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;
utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani.
Hii ni laana ya kwanza kwa waliohusika na pili

Usipokamatwa na sheria ya wanadamu Mungu huruhusu watumishi wa Mungu kutelekeza hukumu kwako kwa Sala

Zaburi 149:6-7 (SUV) Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao, Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.
Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.

http://www.bibleforandroid.com/v/60046dfc9fb8

Sasa hukumu ya kuwaombea katika Sala nikitumia biblia kama hakimu iko hapa

Mathayo 26:1, 52 (SUV) Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,
Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.

http://www.bibleforandroid.com/v/edf0561f251a

Tuingie katika Sala hii ni nchi yetu hatuwezi iacha ikilaaniwa kwa vitendo vya watu wachache
 
Hiki ni kitendo cha kinyama na kinapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Kama siasa leo hii imefikia hatua ya watanzania kuuana kikatili namna hii basi ni hatari kubwa kwa mustakabali wa taifa.

Jeshi la polisi kwa kushirikiana na raia wema lifanye kazi kuwasaka, kuwatia nguvuni na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria na hatua kali zichukuliwe dhidi ya hao wauaji.

Very sad!
 
Ifike mahali tuwe wazalendo ...kwanini kupoteza damu hizi changa? ...tunapandikiza nini kwa wananchi? Kifo cha Mawazo kimenigusa mno ....
Ndugu tunapanda mbegu damu tena kwa bidii kubwa na lazima tutavuna damu.alaaniwe aliewatuma na walaaaniwe walioua pole tanzania maana damu inayokumwagikia inakutia laana katika ardhi.nimekosa la kusema machozi yananitoka tu.Mungu awe muhukumu juu ya damu yako na aidai katika mikono ya wauwaji wako.mmelaaniwa mliomuua mawazo
 
Watz, tunajifunza nini kifo cha kamanda A. Mawazo?
 
Mauaji ya hivi huwa yanafanyika usukumani sana lkn ni kwa wanaodhaniwa ni wachawi. najaribu kutafakari, mawazo amewafanyia nini hata wamtendee unyama huo. Mungu yupo, yatajulikana mbele ya safari
 
kinacho uma hadi sasa hamna government statement on this issue hili jambo IGP au Deputy wake alipaswa kutueleza Serikali ilipaswa kuja na Majibu Makatibu wakuu wa wizara husika wanafanya nini?? Mwenyekiti wa Kamati ya usalama ya Mkoa mkuu wa mkoa yuko wapi??
Kama hutoi official statement watu wakidai na we ni muhusika utakataa
 
Very sad indeed,... No more Mawazo?? Aisee, Oopss... Lakini bora umefia front because you will be counted as a hero. Kuliko ungekufa kwa malaria,kifo cha kizembe kabisa. Go Mawazo go comrade,just a night, many souls will join you.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom