lameckkawawa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 944
- 665
Kwa mtindo huu siasa inelekea pabaya sasa wap tunaenda sisi wote ndugu hilo jambo alakukemea na wausika sheria ichukue mkondo wake bila kujali chama huyo mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu,kukaa kimya ni busara kubwa kuliko zote hapa duniani.
Unaandika ukiwa mafichoni sasa hivi ukidhani hakuna anaekujua ,lakini kaa ukijua dunia haina siri......hakuna aijuae kesho
Watu wana huzuni,majonzi na hasira,wamechoka na hubiri la amani lisilo na haki...machozi yao kamwe hayataenda bure
Mungu akutangulie uone mapungufu yako na uyatubu kabla jua la kesho halijachomoza
Rip ,
mh rais magufuli we ni mcha Mungu hakikisha haki inapatikana, tunakutazama, chukua kwanza hatua za makusudi kuonyesha kuwa hukubaliani na mauaji haya
Mkuu hata wawe kwenye issue kama hizi, haupo salama kama wee si mwana ccmWatanzania mwenzangu hii ni taarifa ya huzuni sana kwetu wote.
Ndg:Alfonce Mawazo ameuawa Kwa kupigwa Mapanga na watu wasiojulikana alipokuwa Katoro ktk harakati za kuratibu na kampeni za udiwani Katoro jimbo la Busanda-Geita.
Kifo chake kimethibitishwa ktk Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya Juhudi za Kuokoa Maisha yake ilishindikana.
Marehemu pia alikuwa mgombea Ubunge ktk uchaguzi iliyopita akiwakilisha Chadema na UKAWA Kwa ujumla.
Kitendo hiki cha kinyama na cha kishenzi kimetuuzi sana Kwa kweli
Ndugu tunapanda mbegu damu tena kwa bidii kubwa na lazima tutavuna damu.alaaniwe aliewatuma na walaaaniwe walioua pole tanzania maana damu inayokumwagikia inakutia laana katika ardhi.nimekosa la kusema machozi yananitoka tu.Mungu awe muhukumu juu ya damu yako na aidai katika mikono ya wauwaji wako.mmelaaniwa mliomuua mawazoIfike mahali tuwe wazalendo ...kwanini kupoteza damu hizi changa? ...tunapandikiza nini kwa wananchi? Kifo cha Mawazo kimenigusa mno ....