georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Kweli tumepinduliwa na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hahaa, nyie vibuyu wa lumumba bana!
Asante sana ndugu, maana chadema mi nimewashangaa kuanzia jana. Tukio hili siyo la CCM, wajiangalie wao chadema. Picha zilipigwa kwa ustadi wa hali ya juu kama za mtikila, na chacha wangwe.Habari Watanzania wenzangu,
Nimesikitishwa saana na kifo cha ndugu yetu Alphonce Mawazo lakini nasikitishwa zaidi na uvumi unaosambazwa wahusika ni green guard wa CCM nashindwa kuamini moja kwa moja kutokana na maneno yaliopo hapa baada ya uchaguzi katika jimbo alilogombea Alophonce Mawazo.
Baada ya matokeo kutoka wafuasi wa CHADEMA katika jimbo hilo walishangazwa na matokeo yaliotoka kwamba kamanda Alphonce ameshindwa katika uchaguzi huo hali iliozusha sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho kutokana na kushindwa kwake na kutoonekana katika eneo la jimbo tangu siku ya mwisho ya kupiga kura na kutangazwa kwa matokeo.
Kutokana na kutoonekana kwa ndugu Alphonce Mawazo katika jimbo kulileta sintofahamu kwa wafuasi wa CHADEMA ndipo zilipozuka fununu ndugu Alphonce Mawazo aliuza jimbo kwa chama tawala na kukubali kushindwa kirahisi, hali hiyo ilileta chuki kwa makamanda wa CHADEMA hali iliyosababisha waape kwa miungu yote kuwa atakapoonekana hadharani ama zao ama zake lazima wamdhuru, ikibidi hata kumuua.
Hivyo kutokana na hasira za wapenzi wa chama hicho nashindwa kuamini moja kwa moja upande mmoja tuu wa green guard wanahusika kwani kama kushindwa alikuwa ameshashindwa ubunge na hakua tishio tena kwa chama cha mapinduzi, kwangu mimi naweza sema kama angekua tishio kwa chama cha mapinduzi basi wangemdhuru wakati anatafuta jimbo lakini sio kwa sasa ambapo hakuwa mshindani hivyo napata ukakasi sana kuamini kama kuna nguvu yoyoye kutoka chama cha mapinduzi ilio nyuma ya kifo cha kamanda Alphonce Mawazo, lakini pia naona kuna watu wanataka kugeuza kifo cha kamanda Alphonce Mawazo mtaji wa kisiasa.
Naomba tutafakari pia hawa wapenzi wa CHADEMA walikuwa wakiapa kuwa lazima watamdhuru baada ya kuhongwa hela ili akubali kupoteza jimbo lakini pia tukiwa tunasubiri matamko ya police na uchunguzi wao ni vema tukawa watulivu kusubiri uchunguzi wa polisi maana yapo pia mambo nje ya siasa ambayo yanaweza pelekea mtu kuumizwa hata kuuwawa ikiwemo biashara, ugoni, imani za kishirikina, ujambazi. nk
Hivyo kabla hatujanyanyua vidole kunyoosheana kwa hisia na kupandikiza uhasama wa kisiasa ni vema tukatafakari upya na kusubiri vyombo vya dola kuleta ukweli. Nichukue nafasi hii kuwapa pole wafiwa na wapenzi wake MUNGU ALITOA MUNGU AMETWA JINA LA BWANA
Tusivutane sana tusubiri taarifa kutoka polise ndio yenye hatima na ukweli huo.
Habari Watanzania wenzangu,

Kenge wewe,
Chacha wangwe alikuwa lumumba? Au tunajua mchezo mzima alikuwa shujaa wetu kwetu huku,pongezi kwa kujua mchezo mzima,
Narudi kwa wazo la Uzi huu, utavuna ulichopanda ukiwa duniani,
Acheni kuchochea chuki ndugu kuna maisha baada ya msiba ....
Mawazo ni sawa na chacha wangwe na mtikila,
Tena ni sawa kabisa na mtikila. Picha imepigwa Kam vilele ya mtikila, maana picha iko vizuri. Ndiyo maana chadema hapa kukwepa hii lawama ni ngumuMawazo ni sawa na chacha wangwe na mtikila,
Sasa hao ccm kama ndiyo wameua mbona haielezwi ni kwa sababu ipi hadi wamemuua.