Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama umelipwa kwa kuandika uzushi huu basi hela zao umekula kirahisi sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Watanzania wenzangu,
Nimesikitishwa saana na kifo cha ndugu yetu Alphonce Mawazo lakini nasikitishwa zaidi na uvumi unaosambazwa wahusika ni green guard wa CCM nashindwa kuamini moja kwa moja kutokana na maneno yaliopo hapa baada ya uchaguzi katika jimbo alilogombea Alophonce Mawazo.
Baada ya matokeo kutoka wafuasi wa CHADEMA katika jimbo hilo walishangazwa na matokeo yaliotoka kwamba kamanda Alphonce ameshindwa katika uchaguzi huo hali iliozusha sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho kutokana na kushindwa kwake na kutoonekana katika eneo la jimbo tangu siku ya mwisho ya kupiga kura na kutangazwa kwa matokeo.
Kutokana na kutoonekana kwa ndugu Alphonce Mawazo katika jimbo kulileta sintofahamu kwa wafuasi wa CHADEMA ndipo zilipozuka fununu ndugu Alphonce Mawazo aliuza jimbo kwa chama tawala na kukubali kushindwa kirahisi, hali hiyo ilileta chuki kwa makamanda wa CHADEMA hali iliyosababisha waape kwa miungu yote kuwa atakapoonekana hadharani ama zao ama zake lazima w
Kama unaumia sana hama nchi. Ikiwa huwezi kuhama basi susia siasa kama ambavyo wale manyumbu wanavyosusa pale Bungeni.
tulia tunajua sisi na waliofanya hayo wanajulikana
Wewe Shetani Mkuu unayejificha (camouflager) kwa kujiita Malaika Mkuu unataka kutuambia kwamba Kamanda Mawazo jana ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwake kuonekana hadharani tangu uchaguzi Mkuu upite? Hao aliokuwa anafanya nao kikao cha ndani walikuwa ni wanachama wa chama gani?
Kifo chake kichunguzwe na wanaohusika wachukuliwe hatua za kisheria.