TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Kama umelipwa kwa kuandika uzushi huu basi hela zao umekula kirahisi sana !
 
Habari Watanzania wenzangu,

Nimesikitishwa saana na kifo cha ndugu yetu Alphonce Mawazo lakini nasikitishwa zaidi na uvumi unaosambazwa wahusika ni green guard wa CCM nashindwa kuamini moja kwa moja kutokana na maneno yaliopo hapa baada ya uchaguzi katika jimbo alilogombea Alophonce Mawazo.

Baada ya matokeo kutoka wafuasi wa CHADEMA katika jimbo hilo walishangazwa na matokeo yaliotoka kwamba kamanda Alphonce ameshindwa katika uchaguzi huo hali iliozusha sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho kutokana na kushindwa kwake na kutoonekana katika eneo la jimbo tangu siku ya mwisho ya kupiga kura na kutangazwa kwa matokeo.

Kutokana na kutoonekana kwa ndugu Alphonce Mawazo katika jimbo kulileta sintofahamu kwa wafuasi wa CHADEMA ndipo zilipozuka fununu ndugu Alphonce Mawazo aliuza jimbo kwa chama tawala na kukubali kushindwa kirahisi, hali hiyo ilileta chuki kwa makamanda wa CHADEMA hali iliyosababisha waape kwa miungu yote kuwa atakapoonekana hadharani ama zao ama zake lazima w
 
Kama unaumia sana hama nchi. Ikiwa huwezi kuhama basi susia siasa kama ambavyo wale manyumbu wanavyosusa pale Bungeni.

Sikia wewe nyang'au! Jitokeze hadharani kisha ongea huu ujinga wako uone cha mtemakuni!
 
Wewe Shetani Mkuu unayejificha (camouflager) kwa kujiita Malaika Mkuu unataka kutuambia kwamba Kamanda Mawazo jana ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kwake kuonekana hadharani tangu uchaguzi Mkuu upite? Hao aliokuwa anafanya nao kikao cha ndani walikuwa ni wanachama wa chama gani?

Kwahiyo ccm wamemuua kwa sababu ipi sasa??
 
Last edited by a moderator:
Malaika Mkuu

Wewe ni mmoja wa wanafiki. Kwanza unaandika kama mtu neutral halafu Tena unageuza kibao kwa wafuasi wa CDM kwamba waliapa ???????!!! Polisi ipi itakayofanya uchunguzi? Hii .
 
Last edited by a moderator:
Nianze kutoa pole kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho kwa kifo cha Alphonse Mawazo,aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Geita. Pole pia nazitoa kwa familia,ndugu na jamaa wa marehemu. Namuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Kamanda Mawazo mahali pema peponi, Amina.

Nakwepa kuzungumzia namna na mahali kilipotokea na kilivyotokea kifo cha Mawazo kwakuwa hayo ni mambo ya vyombo vya dola. Najielekeza moja kwa moja kwenye hoja yangu. Nikiri mapema kuwa namfahamu Hayati Mawazo kwa kiasi kidogo sana.

Kadiri ninavyojua,Hayati Mawazo alihama vyama viwili. Alihama TLP kuhamia CCM na baadaye akahama CCM kwenda CHADEMA. Alipokuwa CCM,Hayati Mawazo alifanikiwa kugombea na kushinda Udiwani wa Kata ya Sombetini kule Arusha Mjini.

Alihamia CHADEMA akiwa bado Diwani wa Sombetini na kusababisha uchaguzi mdogo uliowapa CHADEMA ushindi. Hayati Mawazo alihama vyama akihama na fikra zake alizozisimamia hadi kifo chake.

Hayati Mawazo alitamani na kusimamia demokrasia Tanzania.Alikuwa na ushawishi kwa ujenzi wa hoja alipokuwa vyama vyote vitatu. Alitamani na kusimamia ubishani wa kujenga hoja za kuimarisha demokrasia. Ndiyo maana hakuchoka kushiriki kutangaza na kuimarisha vyama vyake. Kila chama kilichomkosa kiliathirika. Hata CHADEMA itaathirika ingawa fikra zake zitaendelezwa. Demokrasia ni watu kusikia,kujua na kupambanua. Hayati Mawazo aliyafanya hayo yote.

Pia,Hayati Mawazo alikuwa na fikra za kuleta maendeleo kwa watu na uthubutu. Katika kuyasimamia hayo,alikuwa Diwani wa Sombetini na hata kugombea Ubunge huko Busanda mwaka huu. Kama kijana,amekuwa mfano wa kuthubutu na kufanya.

RIP Hayati Alphonse Mawazo
 
Machozi yenye uchungu yananitoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
12208337_929746060450420_4849247222814966898_n.jpg
 
Nazidi kuumia,ila hawa mafirauni ccm hukumu na kiama chao.kifo cha mwenye haki na mpigania wanyonge hakiendi bure...R.I.P mawazo
 
Wasukuma ni wapumbavu sana, wanauana kwa tofauti za kiitikadi! Wanauana kwa kuwa mtu ni Albino! Mbona Kilimanjaro hawauani kwa tofauti za kiitikadi!! Ndiyo maana walifukiwa kwa mamia pale Bulyanhulu.
 
Sio wa kwanza kuuawa,wameuawa wakina mtikila na mvungi na maisha yakasonga mbele..sasa nashangaa mnavojiliza liza humu,au kisa kauawa wa chadema ndo mnataka huruma kutoka kila kona?
 
Malaika Mkuu

Unayejiita malaika mkuu nachelea isije ikawa malaika wa kuzimu, naona unafanya kazi ya kuwarahisishia polisi upelelezi, kwa kifupi unatengeneza mazingira yasiyokuwepo. Kuna watu wamenogewa mno na kuua, kuondoa uhai wa mwanadamu mwingine imekuwa kazi rahisi sana, ni ugonjwa wa hatari sana huu.
R.I.P ndugu yetu kipenzi Mawazo, Mungu yuko hai na haya yote anayashuhudia
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom