TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa amani Marehemu, pia ndugu wawe na subira kipindi cha kuondokewa na mtu wao.
 
Wale waliokuwa wanafanya nae kikao suspect namba moja,kusema eti kawaponyokaje na wakashitukia anapigwa nusu kilomita away,it doesnt add up,
motive ya wanaccm kumuua aiji kwani uchaguzi ulishapita mawazo hakuwa tishio,
motive ya kuwa inawezekana aliuza jimbo na hivyo wenzake wamemmaliza na kisha kubuni hadithi ya eti wanaccm ndo wamemuu naona kama inastick,

kwamba eti mawazo alitoweka kwenye kikao kimiujiza na wakamuona anapigwa kwambali bado maelezo hayajajitosholeza
 
Huzuni kwa matukio kama hilo ambalo linaonyesha kuwa serikali haipo tayari kushindana kwa hoja.
 
Wale waliokuwa wanafanya nae kikao suspect namba moja,kusema eti kawaponyokaje na wakashitukia anapigwa nusu kilomita away,it doesnt add up,
motive ya wanaccm kumuua aiji kwani uchaguzi ulishapita mawazo hakuwa tishio,
motive ya kuwa inawezekana aliuza jimbo na hivyo wenzake wamemmaliza na kisha kubuni hadithi ya eti wanaccm ndo wamemuu naona kama inastick,

kwamba eti mawazo alitoweka kwenye kikao kimiujiza na wakamuona anapigwa kwambali bado maelezo hayajajitosholeza
Na wa udiwani ulishapita pia?
 
Mchokoo

Nikikumba historia enzi zile za ukoloni mtu mweusi hakuamini kama mzungu angeweza kupigwa risasi na kufa lkn baada ya waafrika kushiriki vita vya kudai uhuru ktk mataifa nje ya Afrika na kushuhudia mzungu akifa ndipo waliporudi afrik?? wakaanza kudai uhuru na haki kwa njia ya mazungumzo na ikishindikana nguvu lazima kutumika,nadhani ndiko tuendako,ipo siku mtindo wa watu kudhani kwamba wao wana miili ya mawe na wengine wana miili ya nyama utaisha na ndio utakuwa mwanzo wa kuheshimiana kama taifa.
 
Last edited by a moderator:
Nakukulia Alphonce Rafiki yangu, hukupaswa kufa kifo cha aina hii, Nakupenda sana bro! Nakupenda sana bro!
 
I will sacrifice my life for this death, sure i will!!

Niliwahi kufiwa na mzazi wangu, ila sikuumia hivi! Sure i will!

Rest in Peace Alphonce! Nakuona kabisa!!!!
 
Mungu naomba uniondolee uvumilivu ,

R.I.P comrade kamanda Savimbi
 
Attachments

  • 1447583844805.jpg
    1447583844805.jpg
    23.3 KB · Views: 236
Kumbe mshamba wa Tunduma deiweka wa daladala huna ujualo wewe ni nyumbu tu wanakoelelekea wenzio unaelekea hukohuko
 
Sasa hapo ndiyo mtawajua kama fisadi Lowasa, Mbowe na Mbatia ni mafia na majambazi huyu mtoto hakuna atakayemjali ingawaje wao akina Mbowe Lowasa & Co. ni mabilionea, wamemuuwa baba yake na sasa hakuna hata atakayekuja kumsaidia sana sana mtoto ashukuru Mungu pmj na mchungu yote ya kukosa baba Mwenyezi Mungu kamletea Magufuli ambaye ameondoa ada na atasoma Bure mpka kidato cha nne na kifaulu atapata mkopo wa kusoma Chuo Kikuu!
Ungejua maumivu ya huyo mtoto kwa kuuwawa kwa baba yake na chuki atakayokuwa nayo na jinsi itakavyo muhathili ufahamu wake usinge ANDIKA UPUMBAVU HUU.Kuna mtoto wa darasa la nne aliona baba yake akipigwa risasi na kufa.mtoto alikumbatia maiti ya baba yake na walipokuja polisi kuchukua mwili mtoto alianza kuwarushia mawe polisi uku akisema na mimi nitaua.Tafakali kabla ya kuandika ulichoandika kwa sababu uwezi pindua anachokijua huyo mtoto kuhusu kifo cha baba yake na ataichukia ccm maisha yake yote nakuhakikishia hata watanzania wote wawe ccm yeye peke yake ataikataa ccm.Damu nzito kuliko maji na Ujinga huu ulioandika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom