FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa mara ya kwanza leo umecoment kama mtu huru na Tena neutral. Aksante
Huwa unanisoma kwa uoga tu. Nisome vizuri utanielewa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza leo umecoment kama mtu huru na Tena neutral. Aksante
Nazidi kuumia,ila hawa mafirauni ccm hukumu na kiama chao.kifo cha mwenye haki na mpigania wanyonge hakiendi bure...R.I.P mawazo
Kwa ccm kwao kuua mpinzani ni sahihi.wauwaji wa wapinzani yupi kafungwa kwa mwenye kumbukumbu aiweke hapaSi sawa kabisa kuua binadamu
Na wa udiwani ulishapita pia?Wale waliokuwa wanafanya nae kikao suspect namba moja,kusema eti kawaponyokaje na wakashitukia anapigwa nusu kilomita away,it doesnt add up,
motive ya wanaccm kumuua aiji kwani uchaguzi ulishapita mawazo hakuwa tishio,
motive ya kuwa inawezekana aliuza jimbo na hivyo wenzake wamemmaliza na kisha kubuni hadithi ya eti wanaccm ndo wamemuu naona kama inastick,
kwamba eti mawazo alitoweka kwenye kikao kimiujiza na wakamuona anapigwa kwambali bado maelezo hayajajitosholeza
Ungejua maumivu ya huyo mtoto kwa kuuwawa kwa baba yake na chuki atakayokuwa nayo na jinsi itakavyo muhathili ufahamu wake usinge ANDIKA UPUMBAVU HUU.Kuna mtoto wa darasa la nne aliona baba yake akipigwa risasi na kufa.mtoto alikumbatia maiti ya baba yake na walipokuja polisi kuchukua mwili mtoto alianza kuwarushia mawe polisi uku akisema na mimi nitaua.Tafakali kabla ya kuandika ulichoandika kwa sababu uwezi pindua anachokijua huyo mtoto kuhusu kifo cha baba yake na ataichukia ccm maisha yake yote nakuhakikishia hata watanzania wote wawe ccm yeye peke yake ataikataa ccm.Damu nzito kuliko maji na Ujinga huu ulioandika.Sasa hapo ndiyo mtawajua kama fisadi Lowasa, Mbowe na Mbatia ni mafia na majambazi huyu mtoto hakuna atakayemjali ingawaje wao akina Mbowe Lowasa & Co. ni mabilionea, wamemuuwa baba yake na sasa hakuna hata atakayekuja kumsaidia sana sana mtoto ashukuru Mungu pmj na mchungu yote ya kukosa baba Mwenyezi Mungu kamletea Magufuli ambaye ameondoa ada na atasoma Bure mpka kidato cha nne na kifaulu atapata mkopo wa kusoma Chuo Kikuu!