TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
I will sacrifice my life for this death, sure i will!!

Niliwahi kufiwa na mzazi wangu, ila sikuumia hivi! Sure i will!

Rest in Peace Alphonce! Nakuona kabisa!!!!

Basi kichaa wewe kama mzazi hana thamani kuliko huyu. Au kiroba kimekuzidia?
 
Kamanda wangu kakaangu niliekuheshim sana katika harakati za ukombozi wa taifa hil, lakini leo hii wanadam wanaamua kukatisha maisha yako makusudi kabisa! roho inaniuma sana, tangulia kaka nami nitafuata maana nusu ya mwili wangu ni mfu na nusu ni hai
 
Ungejua maumivu ya huyo mtoto kwa kuuwawa kwa baba yake na chuki atakayokuwa nayo na jinsi itakavyo muhathili ufahamu wake usinge ANDIKA UPUMBAVU HUU.Kuna mtoto wa darasa la nne aliona baba yake akipigwa risasi na kufa.mtoto alikumbatia maiti ya baba yake na walipokuja polisi kuchukua mwili mtoto alianza kuwarushia mawe polisi uku akisema na mimi nitaua.Tafakali kabla ya kuandika ulichoandika kwa sababu uwezi pindua anachokijua huyo mtoto kuhusu kifo cha baba yake na ataichukia ccm maisha yake yote nakuhakikishia hata watanzania wote wawe ccm yeye peke yake ataikataa ccm.Damu nzito kuliko maji na Ujinga huu ulioandika.

Haijalishi kama ataichukia CCM au ala, ila Serikali CCM chini ya Raisi Magufuli ndiyo itakayomsomesha kwani kuanzia Januari Elimu Bure na Chuo Kikuu mkopo uhakika upo kwa maana akina Lowasa, Mbatia Mbowe & Co.ambao ni mabilionea hatamkumbuka na watamtelekeza kama walivyowatelekeza wengine wengi tu!
 
Mods kwa vile mnazo details za majina ya members wenu humu hebu tuwekeeni jina halisi la Elungata ili tuone kama ataiona siku ya kesho. Kujivunia ID ya bandia hadi kuona maisha ya mwanadamu hayana thamani kama siasa hizi za kilaghai na kutafuta fursa ya kuiba haitasaidia Tanzania
 
Last edited by a moderator:
I will sacrifice my life for this death, sure i will!!

Niliwahi kufiwa na mzazi wangu, ila sikuumia hivi! Sure i will!

Rest in Peace Alphonce! Nakuona kabisa!!!!

Hapa unafanya 'self healing' , baada ya muda utaendelea na maisha yako kama kawaida. Kuongea, kujiapisha na kuahidi sana ni sehemu muhimu mno katika self therapy, hivyo unafanya jambo jema.
Ungeandika mara moja kama ulivyoandika katika ule uzi uliofutwa na mods ningekua na kila sababu ya kugutuka, lakini kwa frequency hizi za ahadi, vitisho na kujiapiza...jiandae kupokea salamu zangu za heri ya Christmas na mwaka mpya ukiwa mwenye heri na furaha tele.
 
UPUMBAVU wako umezidi kipimo, inaoneka uwezo wako wa kufikiri umezimwa? Labda uliwahi kulawitiwa!

punguza hasira kufiwa na rafiki kusikufanye utukane hovyo.wakikutukana tulia hiyo ndio busara lowassa katukanwa sana yupo kimya nawe nifunze kutoka kwa kiongozi wako
 
Nimesikitika sana yaani binadamu tunageuka wanyama kisa siasa? Bora mfumo wa chama kimoja urudi..
 
Hapa unafanya 'self healing' , baada ya muda utaendelea na maisha yako kama kawaida. Kuongea, kujiapisha na kuahidi sana ni sehemu muhimu mno katika self therapy, hivyo unafanya jambo jema.
Ungeandika mara moja kama ulivyoandika katika ule uzi uliofutwa na mods ningekua na kila sababu ya kugutuka, lakini kwa frequency hizi za ahadi, vitisho na kujiapiza...jiandae kupokea salamu zangu za heri ya Christmas na mwaka mpya ukiwa mwenye heri na furaha tele.
Umeona eeh? Jamaa anaapa mpaka anaogopesha. Walio karibu naye wamwangalie vizuri asije akaua mtu kweli. Ni huzuni kwamba siasa zimetufikisha huku. Ni huzuni!
 
Hapa unafanya 'self healing' , baada ya muda utaendelea na maisha yako kama kawaida. Kuongea, kujiapisha na kuahidi sana ni sehemu muhimu mno katika self therapy, hivyo unafanya jambo jema.
Ungeandika mara moja kama ulivyoandika katika ule uzi uliofutwa na mods ningekua na kila sababu ya kugutuka, lakini kwa frequency hizi za ahadi, vitisho na kujiapiza...jiandae kupokea salamu zangu za heri ya Christmas na mwaka mpya ukiwa mwenye heri na furaha tele.
Mpuuzi wewe.
 
R.I.P kamanda

NITAICHUKIA CCM NA WATU WAKE MAISHA YANGU YOTE!
 
Yaani ccm wanawaona upinzani kama sio watanzania. Swali gn hilo sasa anakuuliza. Mnajifanyia tu mambo ya hovyo kwa vile hamna wa kuwauliza.wala hamfanywi chchte sio?
Usife moyo rafiki, hakuna marefu yasiyo na ncha. CCM wanaweza wakawazidi watanzania wote ujanja, lakini Hawawezi kumzidi Mungu Ujanja. Wengi wao sasa wanadhani Mungu amelala usingizi. Wakati wa Mungu kushughulika nao utakapofika, ndipo watakapojua kwamba wao ni viumbe sawa na viumbe wengine wote, na kwamba kamwe hawawezi kumzidi muumba wao ujanja.
 
Msiba wa Mtanzania huyu isiwe ni sababu ya kuongea tuuu bila kipimo au busara....msiba unaumiza ndio, haswa kwa ndugu, jamaa na marafiki wa karibu kwa Marehemu.

Pamoja na kuwa kifo kinatutisha lakini bado ni imani ya tulio wengi kuwa kifo ndio njia pekee ya kwenda kwenye maisha mengine. Bila kujali kifo hicho chanzo chake ni nini anayebaki na ukweli halisi ni Mwenyezi Mungu pekee.

Huu ni wakati wa kusheherekea maisha ya Marehemu Alphonce...na kama mliokuwa karibu naye mnaamini kuwa Marehemu alitamani kuona nchi yenye matumaini, basi tunaobaki tunapaswa kuenzi hayo...na hiyo ndio heshima kwa Marehemu.

Lakini tukiruhusu chuki hasira na kauli za jazba za kulipiza visasi, ni kuwa mnataka tuamini kuwa Marehemu alikuwa muumini wa hayo?

Wengi tulimpenda Kanumba, na wote tunajua kilichosababisha mauti ya mpendwa wetu yule, na tuliacha mamlaka husika zikafanya yale wanayopaswa kufanya na mengine yatabaki ni kazi ya Mola, na tunaamini hivyo ndio maana hatujatoka na kuanza kumpiga mawe Lulu.

Wapo wanaoamini kuwa tasnia ya filamu inaangamia kwa kukosekana Kanumba.....lakini tufanye nini na yameshatokea?

Kifo hakikwepeki na kila mmoja siku moja atakufa, na wapo makumi au mamia au maelfu watakaoumizwa na kifo hicho kutegemea na nafasi aliyokuwa nayo Marehemu.
 
Kwanza natoa pole sana kwa Familia, Ndugu, Marafiki na Wananchama wote waliofikwa na msiba huu. Tunaiomba Serikali ya awamu ya tano iwakamate wale wote waliomuua kikatili Ndugu Alphonce Mawazo na kuwafikisha mbele ya sheria. Tunajua Serikali ina mkono mrefu na kamwe hawatashindwa kuwakamata hao wahalifu. Katika nchi ya amani na ya kidemokrasia kama Tanzania tukio kama hilo limetuhuzunisha sana hata kama akiwa mwanachama wa Chama pinzani bado ni Mtanzania mwenzetu.
 
RIP Alphonce Mawazo.

Tutulie na kuachia mamlaka zifanye kazi.

Ifike mahali CDM, maadamu wanatambulika kisheria, wawe tayari kutumia wapelelezi binafsi toka nje kwa ajili ya upelelezi mbadala kuliko kuruhusu mambo ya hisia kali kumea.

Nafahamu wapelelezi binafsi ushahidi wao huweza kutumika ili mradi wametambulika kisheria.

Na pia ni namna ya kuujua ukweli na kuufafanua, hasa kama mamlaka husika za nchi zitatumika kuupindisha, mbele ya umma.
 
Sina lakusema ila nafsi yangu itaamu maana nimeumia sana RIP kamanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom