Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo hufai kuitwa binadamu. Wapi nimeandika mpinzani haki yake kaburi?.. kama hujui kusoma omba msaada kwa jirani au kwa konda kama uko ndani ya daladala
R.I.PWakuu,
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia CHADEMA bwana Alphonce Mawazo afariki dunia leo.Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana linalosemekana ni la green guard jana wakati akifanya kampeni kumnadi diwani wake.
Kamanda Mawazo pia ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita.
Kamanda Mawazo pia alikuwa ni member wa JamiiForums (Verified Member) kwa jina lake halisi la Alphonce Mawazo.
![]()
Baadhi ya Mada alizowahi kuanzisha Marehemu Alphonse mawazo hapa JamiiForums ni:-
1. Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana
2. Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days
3. Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa
4. Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani
Mada juu ya Maoni ya Godbless Lema baada ya kifo cha Alphonce Mawazo - Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema
Wakuu,