TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Nasema hivi yotehayo.ccm wanasitahili kubeba lawama (100)kwanini wavamie mkutano wandani WA Cdm.
 
Lazima nyuma ya mauji haya ya kiongizi mawazo kuna mkono wa au baraka za Maana hata mwangosi aliuawa na mahasikali mbele kio kiongozi sasa kifo cha cha kamanda mawazo nasikia ilikuwa ni karibu na kituoo
 
Wewe ndo hufai kuitwa binadamu. Wapi nimeandika mpinzani haki yake kaburi?.. kama hujui kusoma omba msaada kwa jirani au kwa konda kama uko ndani ya daladala

Unapenda sana kutukana rudi kwenye post zako zisome halafu uone zinatoa ujumbe gani???We unayejua kusoma hongera sana ,bahati mbaya hujitambui.Siongelei UCCM wala UCDM naongelea TAIFA kama TAIFA kila mtu awe na haki ya kuishi period.Najua kusoma sijui,niko kwenye daladala au ni konda,cha msingi ninajitambua,na ninaongea mawazo yangu siyo mawazo ya kushikiwa na akina Nape au JM
 
Tuyamalize mkuu, tuutumie huu mda wa majibizano kuchapa kazi coz tunajenga nyumba moja na haina haja ya kugombea fito ingawa migongano ni ya kawaida ktk maisha ya kila siku.NISAMEHE.
 
Binadamu bwana duh. Hiki kifo tayari kimeshasahaulika. Hata waliokuwa wanajiapiza humu mf. MSUMARI WA MOTO bila shaka presha imeshashuka wapo wanakata bia na maisha yanaendelea. Hata vyombo vya habari hasa magazeti hayakutoa uzito wo wote. Hata CHADEMA wenyewe sidhani kama wanajali sana.

Mambo kama hata hivyo huwa hayafutiki kirahisi katika psyche ya taifa. Tunaweza kusahau kwa haraka lakini tujue kuwa tunapanda mbegu mbaya sana na tusipojirekebisha siku moja tutavuna tustahilicho huko mbele ya safari. RIP Mawazo na Mungu Atusaidie siye tuliobaki!
 
Dah hii dunia hii ? Kauwawa na bado kuzikwa ikawa kazi leo rafiki yake kipenzi anasota jela ,tena amshukuru Mungu yupo jela pengine angekuwa na Mawazo au huko jela sijui yupo salama kiasi gani

Kitu kimoja mtu unapaswa kujua "We all live in the jungle and in the jungle you can only eat or be eaten "
 
Wakuu,

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia CHADEMA bwana Alphonce Mawazo afariki dunia leo.Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana linalosemekana ni la green guard jana wakati akifanya kampeni kumnadi diwani wake.

Kamanda Mawazo pia ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita.

Kamanda Mawazo pia alikuwa ni member wa JamiiForums (Verified Member) kwa jina lake halisi la Alphonce Mawazo.

attachment.php

Baadhi ya Mada alizowahi kuanzisha Marehemu Alphonse mawazo hapa JamiiForums ni:-

1. Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

2. Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days

3. Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

4. Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

Mada juu ya Maoni ya Godbless Lema baada ya kifo cha Alphonce Mawazo - Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema
R.I.P
 
Daaaah RIP kiukweli ni majonzi makubwa kumpoteza kaka yetu kipenzi ..

Mungu akupumzishe kwa amani ulipo......
 
Hii nayo ni Sera ya CCM ...

Wakuu,

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia CHADEMA bwana Alphonce Mawazo afariki dunia leo.Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana linalosemekana ni la green guard jana wakati akifanya kampeni kumnadi diwani wake.

Kamanda Mawazo pia ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita.

Kamanda Mawazo pia alikuwa ni member wa JamiiForums (Verified Member) kwa jina lake halisi la Alphonce Mawazo.

attachment.php

Baadhi ya Mada alizowahi kuanzisha Marehemu Alphonse mawazo hapa JamiiForums ni:-

1. Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

2. Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days

3. Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

4. Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

Mada juu ya Maoni ya Godbless Lema baada ya kifo cha Alphonce Mawazo - Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema
 
kifo cha rafiki yangu mawazo kila siku kinaniumiza sana

Hakustahili kuuawa kinyama kiasi hiki

Kisa siasa

Oooh GOD

Mungu wangu shughulika na watesi wa Mawazo....najisikia huzuni sana leo

Mawazo popote ulipo nenda kamtembelee rafik yako Lema....
 
  • Thanks
Reactions: bht
Rest in Peace kamanda Alphonce Mawazo
Wewe ulikuwa mwana Geita
ulikuwa chachu ya siasa za nchi yetu
Ushupavu wako haukuwa na kipimo
Mawazo Rest in Peace Brother
Tunakumiss sana
Two years down the road..Bado pengo lako halijazibika
Wanafunzi wako kina upendo peneza wamebaki na uoga wao

Brother Alphonce...Two years down the road Kamanda mpambanaji Lissu ameshambuliwa vibaya..Mungu ndiye amemwokoa.
Brother Mawazo...Bado tunakupenda sana..Pumzika kwa amani Brother
 
Kamanda aliuawa kwa panga mchana kweupee!
Wauaji angali wakiendelea kuenjoy na familia zao.
Mungu anawaona
 
Dunia hii tunapita,kila nafsi itaonja mauti.Tusithubutu kutoa uhai kwa sababu yeyote ile.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom