TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
TMPDOODLE1528290503339.jpg
 
Idiot unaulizwa Mawazo unajibu Imran kombe how stupid you are
Ungetumia akili kidogo ungemuelewa na ndio maana ya kuwa GT
Alichofanya ni kukuonyesha kuwa kuna pattern fulani ya mauaji yanayoendelea nchini.
Anakufikirisha je aliyemuua Mawazo ni katika mnyororo huo huo?
 
Waliomuua na wao kwa sasa wanaisoma namba,maana jiwe kawageuzia kibao
 
Ben Saanane, Akwilina pumzikeni kwa amani.
Mkombozi wa wanyonge Lissu ameliamsha dude.
 
Ndio maana naendelea kuamini kwamba ile siku kuu ya kusanyiko ipo. Haiwezekani mtu amwage damu ya mtu kwa dhuluma na uadui. Au afanye shambulio la kinyama, kisa ana mamlaka na ukuu akajua yamekwisha. Tutakwenda kusimamishwa na kuulizwa kwa kila tone na damu lililomwagika kwa dhuluma juu ya ardhi hii.
 
sauti ya tundu lisu inavuma huku duniani.
alphonso mawazo nakukumbuka sana.

alfonso yupi?

yule mbabe, mgomvi, muuaji na mtu wa vita??

alfonso aliishi maisha ya upanga akauawa kwa upanga

tulie juu ya akina ben saa nane, akwilina, Lissu n.k ila sio huyo uliyeandika title yake

wewe ulikuwa haumjui
 
alfonso yupi?

yule mbabe, mgomvi, muuaji na mtu wa vita??

alfonso aliishi maisha ya upanga akauawa kwa upanga

tulie juu ya akina ben saa nane, akwilina, Lissu n.k ila sio huyo uliyeandika title yake

wewe ulikuwa haumjui
Huyo ni alphonce wa kwenye mawazo yako!! Mawazo hakuwahi kuwa mtu wa shari!! Tumeishi naye!ametufia! Mwenyezi Mungu amrehemu pumziko la amani!! Wauaji akina Mojaa na Mjusi bado wanaifurahia pumzi ya bure huko uraiani!! Mungu awaangazie Amina!
 
RIP kamanda nakukumbuka daima..... Nlishuhudia mkutano wako mmoja huko Katoro almanusura nimwage chozi.... If this is the price to pay for enlightening the masses then you're our hero forever.

Hawa wahuni waliokatisha uhai wako, nao wafahamu duniani tunapita tu na madaraka ni suala la muda mfupi tu ila adhabu ya kuzimu ni ya milele and trust me they will suffer to the max.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom