TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Mojawapo ya matukio ya hovyo na ya kikatili sana kufanyika ktk nchi yetu kwa sababu ya kupishana itikadi za vyama kitu ambacho si uadui ila kusaidia kuwa na jamii bora na maendeleo

Ila huku kwetu vyama mbadala vinaonekana kama maadui, wasaliti nk viongozi wetu wanapaswa kuelimika this is shame
 
Daah kweli Raia hasa wa Upinzani hawana nafasi mbele ya haki. Binadamu anachinjwa kama Jogoo wa Xmass yet nobody cares!!!. Horrible

Sent using Jamii Forums mobile app


Mie ndo maana nna hate na kila mtu aliyeko ccm.haijalishi ni nani!..najutaga kuumbwa ke jamani ..ningekuwa men naamini monthly ningekuwa na kesi za kupiga miccm na kuchoma miofisi yao! Siwapend kbs jaman hawa mbwa!
 
Karma itawashughulikia hao wauaji na hawatakuwa na amani mioyoni mwao siku zao zote zilizosalia hapa duniani.
 
..Mawazo angekuwa ameuwawa na watu wa CDM nina hakika hivi tunavyozungumza wahusika wangekuwa wameshahukumiwa, tena hukumu ya kunyongwa hadi kufa.
Nami niulize.

Hivi washukiwa hadi sasa wapo mahabusu wakisubiri hukumu, au wako nje?

Nadhani kesi ya mauaji huwa haina dhamana!

Kwa pande zote ni kama haki haijatendeka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom